Changia TV IMANI

itakuwa na matamko ya kulaani hyo tv mie yangu macho naisubiria kwa hamu.
 
Kama ujumbe haukuhusu nini kinachokuuma? Acha wenye moyo wajitolee! Kama ulidhan vifaa vya makanisa tu ndio vyenyehaki ya kufanyiwa harambee basi utakuwa na matatizo ya kifikra. Kwanini wewe kama mkristo hupendi kusikia zuri lolote linawashukia waislam?

Nani amekwambia habari za kanisa hapa? Mimi ni Musilim lakini sintochanga hata senti. Hiyo pesa bora nikatolee ALLAH kwa kusaidia watoto yatima au wagonjwa kuliko kuwapa nyie wafujaji na waendeleza unafiki, udini, chuki n.k. Kila siku mizozo haiishi misikitini kwa sababu hela zinaliwa tu. Kama msikitini tu hela zinaliwa bila aibu je itakuaje kwenye hiyo tv yenu..
 
Hata kwa wasabato usiende aende kwa wakatoliki wenzako hugo ndo hawa a kharamu
Duhu..!
Kila mtz ni mla kharamu tu, ni unafiki mkubwa ku-identify watu fulanifulani wakati TBL na EA Breweries wanakontribyut % kubwa tu kwene zile bil 600 za TRA. Na development partners wanamwaga pesa toka kwa kodi zao ambazo nyingine zinatoka kwene biashara za red-light districts, ulevi na mambo mengine ambayo dini zenu za kubuni 'zinayakataa'..

Pesa tamu, askudanganye mtu.
 
Dah kweli udini umekolea kisawa sawa.je tutaweza kufanya mabadiliko ya Kisiasa na kiuchumi?Kweli walioingiza hoja ya udini wametuweza ha Great Thinkers TUMENASWA MTEGONI.
 
Si jambo baya kuchangia yatima,ila jambo jema ni kumchukua na kumlea,
je umeshawai kuwachangia hao yatima?
Nani amekwambia habari za kanisa hapa? Mimi ni Musilim lakini sintochanga hata senti. Hiyo pesa bora nikatolee ALLAH kwa kusaidia watoto yatima au wagonjwa kuliko kuwapa nyie wafujaji na waendeleza unafiki, udini, chuki n.k. Kila siku mizozo haiishi misikitini kwa sababu hela zinaliwa tu. Kama msikitini tu hela zinaliwa bila aibu je itakuaje kwenye hiyo tv yenu..
 
Kuna watu wanaudhi..

Usijali mkuu.
Cha muhimu ni kwamba message sent & delivered successfully.

Sio kila jema litapokelewa kwa shangwe, ndo maana hata Newton's 3rd law of motion ina tujulisha kuwa "At every action there is an equal & opposite reaction".

Ndo maana hata manabii wote kuanzia Adam walikuwa na wapinzani wao katika Imani.

Na siku zote wenye chuki zao hawawezi kufurahia mafanikio yako na hata kama wata tabasamu basi ujue hiyo ni "plastic smile"

Hata JF tokea imeanzishwa mpaka sasa kuna watu bado wanaiombea mabaya tuu kila siku na wana ndoto za kuihujumu kadri ya uwezo wao, kisa tuu ni kuangaza nuru katika nyuso za walalahoi.

Long life JF.
Long life TV Iman.
Long life Radio Iman.
Long life wapenda maendeleo/mabadiliko wote.
 
Bola umeling'amua hili,thanx mdau
Dah kweli udini umekolea kisawa sawa.je tutaweza kufanya mabadiliko ya Kisiasa na kiuchumi?Kweli walioingiza hoja ya udini wametuweza ha Great Thinkers TUMENASWA MTEGONI.
 
Point
taken
long life wapinga UDINI
Usijali mkuu.
Cha muhimu ni kwamba message sent & delivered successfully.

Sio kila jema litapokelewa kwa shangwe, ndo maana hata Newton's 3rd law of motion ina tujulisha kuwa "At every action there is an equal & opposite reaction".

Ndo maana hata manabii wote kuanzia Adam walikuwa na wapinzani wao katika Imani.

Na siku zote wenye chuki zao hawawezi kufurahia mafanikio yako na hata kama wata tabasamu basi ujue hiyo ni "plastic smile"

Hata JF tokea imeanzishwa mpaka sasa kuna watu bado wanaiombea mabaya tuu kila siku na wana ndoto za kuihujumu kadri ya uwezo wao, kisa tuu ni kuangaza nuru katika nyuso za walalahoi.

Long life JF.
Long life TV Iman.
Long life Radio Iman.
Long life wapenda maendeleo/mabadiliko wote.
 
Assalam alaykum
warahmatullahi wabarakatu -ewe mpenda kheir napenda
kuchukuwa fursa hii adhwim
kukuomba ujeufanye biashara
na Allah(.s.w.t) siku ya tarehe
18.12.2011 kutakuwa na
mchango wa TV IMAAN katika uwanja wa Taifa jijini Dar-es-
salaam. Ndugu katika Imani, kwa
waliopo Tanzania, Tafadhali I
copy msg hapo juu na uifanye
kuwa status yako kwa leo, na
watumie ndugu zaidi ya 10
katika imani kama sms ili Tamasha la kuchangia Radio
Iman lihudhuriwe na wadau
wengi wenye nia na haja ya
kuchangia Tv Iman
Ndugu Yako katika Imaan We hereby take this golden
chance to request you come do
business with Allah(s.w.t)on
the 18.12.2011.TV IMAAN is
giving you a platform to do
business with ALLAH by organizing a fundraising for the
TV at the National Stadium-Dar-
es-salaam Tanzania from 8am
to 4pm.come and invest in your
hereafter.Muhammad Matano
the Programs Controller Please copy some of our status
regarding the TV IMAAN
FUNDRAISING on the 18.12.2011
at the NATIONAL STADIUM in
Dar-es-Salaam and make it your
status or send it to your friends like s.m.s.this will really help in
spreading the word as we are
running out of time please
please help us in the name of
ALLAH.

taito unasema changia TV, msg inasema tuchangie radio imani- tukueleweje?, well, himahima wanajanvi, njoo tuchangie TV yetu ili tupate chombo imara kwa kampeni 2015, wkt wa kampeni za chinichini umepita.
 
Ili wahubiri fitina na unafiki?

Kila siku zikisonga mbele ndio hii Forum inavyozidi kuonekana RANGI yake HALISI!!! Kwa mujibu wa thread hii na comments zinavyotolewa sidhani kama Topic hii ingekua ya mrengo mwengine mambo yangekua kama yanavyooneekana/yatakavyoonekana kwa wenye kuchangia mada! Kumbe hii Forum si BURE IPO namna, na kwenye Topic kama hizi wenye akili ndipo hua wanafunguka vichwa!!!!
 
Ili mkaendeleze udini wenu wa kipuuzi? Mimi ni musilim safi ila cwez kutoa hata sent kuwachangia nyie wanafiki.

hehe! wakiitwa waislam safi watoke mbele na weye nawe utajitoa...!! MUone ile avatar yake kwanza...

InshaAllah Tv iman ipo njiani... :poa
 
Hahahahahahaha
aisee umewaza nini?

ah i was just thinking hadi mtu anatumia avatar hiyo inamaana when u meet this Muppet could be uglier than u thought.

plus kanikera muislam safi toka lini akajitangaza! bana!... na moja ya sifa kuwa ya muislam ni kusaidia pasi na kutangaza angalia yeye .. ohh! nina watoto yatima... wengine nakaa nao..

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom