Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,680
12,255
Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA. mida ya jioni ya leo 22/4/2022 saa 11:45 jioni nilifanikiwa kuona kipengele cha kuattach file kwenye eneo la shule kimefunguliwa ambapo kuanzia jana nilikuwa siwezi kuattach vyeti.
MTANDAONI.JPG

tuendelee kupeana update hadi kieleweke hakuna kulala
temporary unavailable.JPG
279180744_741378923880629_5480915264196550438_n.jpg
279132883_142742311608830_4895071343507403981_n.jpg

hali inatisha sana ndugu yangu yani hizi ajira kwa kweli ni kama unabet ama unafanya mchezo wa bahati nasibu ukiangalia idadi ya wanao omba ni kubwa kuliko idadi ya ajira zilizotoka yani chozi linaweza kukutoka ebu tizama kiambatanishi hapo chini...shule ina uhitaji wa mwalimu mmoja, walimu walioomba ni zaidi ya 300...hapo kweli si ni sawa na mchezo wa kubahatisha huu...
hatari sana.JPG



Kwa upande wa taarifa za chuo kama umekosea unaweza kubadilisha?
kwa computer ndio rahisi....
utabonyeza hapo kama picha inavyoonyesha...
taarifa.JPG



ukishabonyeza hapo itafunguka....kama kiambata kitakavyoonyesha hapo chini...kisha utabonyeza hiyo alama iliyozungushiwa duara
binaaaa.JPG

utabadilisha taarifa zako kama unavyo taka kisha unasave...
au....unaingia
kwa kubonyeza kama picha inavyoonyesha
chuo.JPG

harafu unaondoa hiyo taarifa kwa kubonyeza sehemu ya ondoa...baada ya hapo unaweka taarifa zako upya
chuooo.JPG

ukishindwa niambie haraka iwezekanavyo...ila usisahau kuwa hayo yote yanawezekana kwa urahisi ukitumia computer...kwenye simu sina uhakika...unaweza kunipigia simu pia 0716719130... nitakusaidia bure kabisa...
 
Mabilionea wanahaha kwenye website ya ortamisemitz kusaka fursa za Ualimu.....Achana na standards za mtandaoni...watu Wana msoto nyuma ya Keyboards huko....sema huwa wanajiliwaza tu kuwaponda walimu walioko field
haaahaaaa umeona enh
 
Haabri wakuu.
Mimi nimeingia kwenye mfumo tangu asubuhi leo. kwa mbinde nimetengeneza akaunti ila mbinde sasa ni sehemu ya kuattach vyeti siioni. inakuwa blank


inaonesha hivi niki Log in.

anayeweza kunipa uzoefu tafadhali
Screenshot (79).png
 
Back
Top Bottom