Chama kisipomdhibiti Nape Nnauye atawaponza

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,495
37,788
Haiwezekani kiongozi wa ngazi ya Waziri anawaita Wananchi anaowaongoza hawana akili. Kwamba kuongozwa na CCM Kwa miaka zaidi ya 60 kunatokana na wanaongozwa kukosa akili?

Huyu Waziri anamaanisha Chama chake na siyo yeye binafsi maana yeye kwenye Uongozi ana chini ya miaka 20.

20230918_124736.jpg
 
Hutaki kuambiwa ukweli?! Kwa malalamiko yaliyojaa humu jamii forum kuihusu ccm yanaakisi taswira halisi ya watanzania tulivyo.

Ni mabingwa wa kulalamika ccm haifai miaka yote tangu wakati wa mwalimu lakini hadi sasa hakuna namna yyt ile inayoonyesha au kuashiria kwamba ccm itapumzishwa. Hakuna mbadala kwasababu wote ni wale wale hakuna Mwenye unafuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna akili kwelii tungekuwa na akili ccm angekuwa kakaa madarakani kwa miaka 40 au 30 tena kwa vipindi tofauti na si mfululizo HATUNA AKILI KWELI
 
Nape yupo sahihi kabisa, wanatutawala kwa kuwa tumetawliwa na chuki, majungu, unafki na kuoneana wivu! yaana ccm itatawala mpaka watanganyika waache kuwa na Upendo wa kinafki!
 
Haiwezekani kiongozi wa ngazi ya Waziri anawaita Wananchi anaowaongoza hawana akili. Kwamba kuongozwa na CCM Kwa miaka zaidi ya 60 kunatokana na wanaongozwa kukosa akili?

Huyu Waziri anamaanisha Chama chake na siyo yeye binafsi maana yeye kwenye Uongozi ana chini ya miaka

Hivi bado kuna watu wanasumbuana na huyu
 
Haiwezekani kiongozi wa ngazi ya Waziri anawaita Wananchi anaowaongoza hawana akili. Kwamba kuongozwa na CCM Kwa miaka zaidi ya 60 kunatokana na wanaongozwa kukosa akili?

Huyu Waziri anamaanisha Chama chake na siyo yeye binafsi maana yeye kwenye Uongozi ana chini ya miaka 20.

View attachment 2753356
Nape hana akili ya kuwa kiongozi. kijana wa 80 au 82 ati anakuwa waziri kujibizana mitandaoni?
 
Kalewa madaraka, si wanajua watavuka tu mto ( uchaduzi 2025) hata wakitukana mamba
wasimpangie Mungu, anaweza kuwagaragara wakashindwa hata kuiba kura. na uchawi wao wa kike kiganga cha zanzibar kikafa kama kuku. si kila wakati wa uchaguzi wanaendaga pemba, au wanafikiri hatuwajui?
 
Ukweli mchungu, ni kwamba sisi wananchi wa tanzania ndio hatuna akili.

Kuongozwa na hawa mabwege miaka yoote hii, means sisi ni MAPOYOYO
 
Back
Top Bottom