hata mimi nashangaa wanataka na wao siku moja washke dola! Ifike hatua tanzania wananchi waamue tuwe na vyama 2au 3 basi. lakin hivi vyama zaid ya ishirin vimesaidia nini? Ni utapeli wa kisiasa hata ibrahim chipaka analijua hiloViache vije.Kwani kile cha Hamad Rashid kilichoiga mpaka bendera ya CDM kimefia wapi?
Una ulemavu wa mawazo!Chadema sio chama ww , ni wanaharakati. Na kuna mpango wa kukifuta kwenye orodha ya vyama vya siasa isajiliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani ambapo wanaharakati walio na NGOs zao ndiko wanakosajiliwa na cdm ikasajiliwe huko
chama cha zitto kabwe, huku kigoma tunajiandaa kuhamia chama zitto, ukabila wa chadema umetuchosha.
Wala usiwe na shaka Mkuu; hiki kitatoweka soon; mwisho wake utakuwa aibu. Mi naona kinge-sound vizuri na kupata umaarufu wa bure kama kikifupishwa CUMA.Huo ni mkakati uluopangwa na ccm kuwachanganya watu ili kupunguza kura ktk uchaguzi ujao hasa vijijini hebu tamka maneno hayo CHAUMA na CHADEMA usikie utaona tofauti ni ndogo sana ktk matamshi jambo ambalo litawachanganya na wasiojua kusoma.
Hivi "unapinga" nini na una-support nini? Sijawahi kuona comment ya aina hii siku za karibuni. Saburi of the week.
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu John Tendwa amekisajili kwa muda Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kikiwakilishwa na mwenyekiti wa muda ndugu WALESI MAYUNGA.
Chadema sio chama ww , ni wanaharakati. Na kuna mpango wa kukifuta kwenye orodha ya vyama vya siasa isajiliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani ambapo wanaharakati walio na NGOs zao ndiko wanakosajiliwa na cdm ikasajiliwe huko
ndio hii hoja yenye chorus ile ile kila siku au kuna nyingine?
Wala usiwe na shaka Mkuu; hiki kitatoweka soon; mwisho wake utakuwa aibu. Mi naona kinge-sound vizuri na kupata umaarufu wa bure kama kikifupishwa CUMA.
Msajili wa vyama vya siasa nchini ndugu John Tendwa amekisajili kwa muda Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kikiwakilishwa na mwenyekiti wa muda ndugu WALESI MAYUNGA.
Tatizo ni Uchu, uchu wa madaraka!
Hii pumba hata ukimlisha kuku wa kienyeji hali wala haonji!Chadema sio chama ww , ni wanaharakati. Na kuna mpango wa kukifuta kwenye orodha ya vyama vya siasa isajiliwe kwenye wizara ya mambo ya ndani ambapo wanaharakati walio na NGOs zao ndiko wanakosajiliwa na cdm ikasajiliwe huko