Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Matokeo ya mwisho kati ya ZNZ na SUDAN yakoje? Yoyote ana taarifa za mwisho?
Znz 2 Southern Sudan 0 MamMa Mia...
Matokeo ya mwisho kati ya ZNZ na SUDAN yakoje? Yoyote ana taarifa za mwisho?
kwa kweli zanzibar wametufuta aibu.
ila ningependa kusikia alau kidogo mambo yaliendaje
Ahahahaaaah!!!Itakuwa walikunywa supu ya pweza kabla ya mpambano
Kenya 0 Malawi 1
Wakenya hoi kwa malawi matokeo ni Kenya 2 na Malawi 3 na mpira umekwisha...Kesho Wa Tanganyika dimbani