Challenge ya 2011; matches na results

kwa kweli zanzibar wametufuta aibu.

ila ningependa kusikia alau kidogo mambo yaliendaje
 
na ndugu zetu warwanda wamewaaadhibu waivorycoast mabao 2 kwa 1


mipambano ya leo ni

ethiopia vs uganda

kenya vs malawi
 
yea tupiane news na kama kunalink ya kuiona hii mitanange nnaomba mtuwekee hapa

naona watu michezo yetu hatuipendi zaidi kuliko ya ulaya kwa nn?
 
Wakenya hoi kwa malawi matokeo ni Kenya 2 na Malawi 3 na mpira umekwisha...Kesho Wa Tanganyika dimbani
 
game la kwanza kati ya Zambia na Burundi natumaini litakuwa lipo kipindi cha pili sasa, wakuu wenye update plz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom