CHALINZE; Chadema yazidi kuungwa mkono, CCM yazidi kukimbiwa vijana kwa wazee

hivi wewe bibi badala ukae nyumbani ulee wajukuu unakuja kushindana na vijana majukwaani.nape aliwaambia mnasubiria kufa na kingungwe wenu

Tena fanya toba haraka sana, Mwenyeezi Mungu tu ndiye ajuae ni nani atatangulia.

Nnakuombea Mwenyeezi Mungu akupe umri mrefu. Nnauhakika hulijui ulisemalo na ukikuwa utaacha.
 
Mnawaa wamasai msosi wawachague ???hehehe.

Mnasahau kwamba maisha yao ni ya kuhamahama leo wapo chalinze kesho wapo Mkuranga siku ya kupiga kura wote hawapo wamehamia bonge! la kilombero. Mnaanza kulalamika daftari daftari. Hamna cha kuboresha daftari wala conter book jipangeni!
 
Eehh Safi sana makamanda kumbe kuna mgombea chadema, daa kweli hii ni hatari nilikuwa mbali na tv kwa muda mrefu, juzi nimerudi kucheki TBC 1 Taarifa ya habari ya juzi sa 2 usiku wanasema hapo chalinze vyama vilivyosimamisha wagombea ni vitatu tu, navyo ni ccm, cuf na nra(kama sijakosea) nikajiuliza chadema hawana mgombea?? kumbe hata chadema wanamgombea pia, aisee kweli TBC ni hatari sana tena taarifa hiyo aliisoma Gabriel Zakaria huyu jamaa akiwa star tv enzi hizo star tv kweli nilimkubali kumbe naye siku hizi amekuwa mbumbumbu hivi.... Inasikisitisha sana TBC kushindwa kuzungumza ukweli wakati watanzania ndio wanaichangia kwa kodi zao... LAKINI YANA MWISHO HAYA YOTE.

CHALINZE NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA!!!!
 
huyo mgombea mwenyewe ndo huyo mwenye cheni shingoni? maajabu haya ya kutaka kupeleka wavaa cheni shingoni tena wanaume.
 
Hatuna ufalme Tanzania.....Kijana wenu aendelee kuuza sembe ila siku ipo ambayo yeye na familia yake watajuta kuijua ikulu.
 
jamani babu tumekumiss chalinze Mungi umemficha wapi babu atupe zile series za kontena la kura tunduma?

Babu wajukuu zako tumemiss ngano zako hapa chalinze
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni pimbiiiii kwani mtu kuvaa cheni si bora kuliko muuza sembe
mkuu hayo mambo yana ukaribu na ushoga, sasa sijui ndo unashabikia ushoga? sikuelewi kabisa. kuhusu kuuza unga hayo ni maneno ya mtaani. hayana ukweli unless uthibitishe, otherwise ni porojo tu kama porojo zingine.
 
Hahahahhahahaha uuuuuwi....:sly::sly:
Kusoma hamjui, hata picha hamuoni???:what:
 
Eehh Safi sana makamanda kumbe kuna mgombea chadema, daa kweli hii ni hatari nilikuwa mbali na tv kwa muda mrefu, juzi nimerudi kucheki TBC 1 Taarifa ya habari ya juzi sa 2 usiku wanasema hapo chalinze vyama vilivyosimamisha wagombea ni vitatu tu, navyo ni ccm, cuf na nra(kama sijakosea) nikajiuliza chadema hawana mgombea?? kumbe hata chadema wanamgombea pia, aisee kweli TBC ni hatari sana tena taarifa hiyo aliisoma Gabriel Zakaria huyu jamaa akiwa star tv enzi hizo star tv kweli nilimkubali kumbe naye siku hizi amekuwa mbumbumbu hivi.... Inasikisitisha sana TBC kushindwa kuzungumza ukweli wakati watanzania ndio wanaichangia kwa kodi zao... LAKINI YANA MWISHO HAYA YOTE.

CHALINZE NAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA!!!!
Gabriel angekuwa Uganda sheria ya Museveni inamhusu sana .....
 
Cdm ikishinda chalinze ntajiuwa hadharani

Interesting!!!

Utafanya nini: kunywa klorokwini mia moja au kujichinja kooni kwa sime au kujipiga risasi kichwani. Hadharani huwezi kujining'iniza kwa kamba kwa vile hakutakuwa na nguzo ya kukusapoti.
 
Back
Top Bottom