CHALINZE; Chadema yazidi kuungwa mkono, CCM yazidi kukimbiwa vijana kwa wazee

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Baadhi ya vijana wa kimasai wanaosihi katika kijiji cha Magulamatali, wakifurahia na mabango yenye picha za mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey, baada ya mkutano wa kampeni.
Vijana wa kimasai na mabango.jpg
Makamu Mwewnyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said Mohamed akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho mmoja wa vijana wa kimasai, Kikoti Mang'wela ambaye alirejesha kadi ya CCM na kujiunga na chama hicho, baada ya mkutano wa kampeni.
Kukakabidhi kadi.jpg
Mgombea wa ubunge katika jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey akiruka juu kucheza ngoma ya kimila ya kimasai baada ya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Magulumatali
Mgombea kuruka.jpg
 
Duu cdm wakishinda itavutia sana maana siamini kama watoto wa vigogo hawatafuti kutumikia watu bali kutafuta maslahi binafsi.
 
Ni ukweli kuwa CDM Imeteka vijana kwa kiasi kikubwa lakini tatizo ni kuwa vijana wengi hawana kadi za kupigia kura.
 
Kwa hali hii chadema tafuteni pakujificha kabisa mtapata aibu ya mwaka.
 
Najua so rahisi kushinda keshokutwa.
Nina matumaini makubwa kuwa hiyo misingi wanayoiweka chadeama itawafaa zaidi mwakani kama watakuwa makini.
 
Crash, hawa watu usiwaamini, nasema siku zote watu wa vijijini wanaweza badilika zikija kofia. If it were in the urban area, then one could build hope not in rural areas particularly in the dominance of Wakwere!
 
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
02 Aprili, 2014

Hili nalo ni jambo la kutunga na kuzusha tu. Mheshimiwa Jaji Warioba alikabidhi rasmi Ripoti ya Tume na Rasimu ya Katiba kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Jumatatu ya Desemba 30, 2014, mbele ya wananchi viwanja vya Ukumbi wa Karimjee, Dar Es Salaam.
Bavicha bwana teh teh
 
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
02 Aprili, 2014

Hili nalo ni jambo la kutunga na kuzusha tu. Mheshimiwa Jaji Warioba alikabidhi rasmi Ripoti ya Tume na Rasimu ya Katiba kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein, Jumatatu ya Desemba 30, 2014, mbele ya wananchi viwanja vya Ukumbi wa Karimjee, Dar Es Salaam.
Kwa hali hii chadema tafuteni pakujificha kabisa mtapata aibu ya mwaka.
 
Ukweli utabaki kuwa kuichagua ccm ni kujidhalilisha, ni wale tu wanaosumbuliwa na inferiority complex wanaweza kumchagua muuza madawa ya kulevya Ridhiwani
 
Back
Top Bottom