Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Ndio maana watengeneza application wengi awapendi kutengeneza app za Android kwanza. Maana wizi umezidi sana hata awapati kitu.
Alafu hako ni kaapplication Ka 8,000 tu ingekuwa photoshop ya 600,000+ ningekuelewa.
Mkuu ukisema 8000 tu, binafsi napata tabu kukuelewa ina maana hiyo 8000 ni ndogo sana.
 
Mkuu ukisema 8000 tu, binafsi napata tabu kukuelewa ina maana hiyo 8000 ni ndogo sana.
Yani mtu kakaa chini, kapata wazo, kuchukua mda wake na kutengeneza application nzuri kama poweramp yenye equaliser bora kuliko inayokuja na simu, pamoja na hapo ukinunua hiyo application ni yako mpaka kufa hata ubadilishe simu ngapi utabadiki nayo, pia unaeza install kwenye devices zako zote na hapo pia anakupa updates za hiyo app yako bila kuchoka.

Kwa kuangalia mambo yote haya naona hiyo 8000 ni ndogo sana kumlipa huyu developer. Hii ndio sababu kubwa sana ya madeveloper kwenda kutengeneza apps za iPhone tu maana ukiwasikiliza wanasema kutengeneza apps za android ni ngumu sana compared na ios lakini na ugumu wote wanafanya lakini bado kazi yake mtu anabeba bure.
 
28ed416b40f05f4a157c822f3b30afeb.jpg
Mkuu sasa apo lucky patcher naipataje?
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Imegoma hiyooooooo inakubali baada ya sekunde kadhaa inakataa
 
Wakuu mie nimeipakua blckmart,kuna haja yakufuata hizi step?simu yangu ipo rooted tayari.
 
Mkuu Kun Jr hiyo unlocker inakubali kweli ila baada ya muda licence verification inafail

Imegoma hiyooooooo inakubali baada ya sekunde kadhaa inakataa

asante sana mkuu, manake hii kitu ilikua inachakachukulika kwa masaa tu, baada ya muda ininaamka tena.
Huyo ndugu mimi ilibidi kumkubalia tu, lakini binafsi huko kote nilishapita hakuna kitu, yeye anadai kwake imekubali kwa kutumia key za mitandaoni.
 
361d64b862f7361867429683096e2039.jpg
ccbb16e852eeb71f87ec90f8084da25c.jpg


Kuna tatizo la internet au ni nini hapa maana after 29% ina faile
Mkuu uki bofya hapo try to root ndio inafika asilimia 29 then inagoma?
Ikileta huo ujumbe chagua hapo tyr to root then tulia sehem yenye net fresh.
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp...
Mkuu hongera sana nafurahia mdundo hapa bila wasiwasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom