Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Wakuu asanteni. Maaana tayar nadundika na poweramp. .sasa basi kuna game inaitwa Boom beach lenyewe lina in App purchase ambazo ni diamonds sasa naomba maujuzi kulichakachua niwe nafurahia zaidi
 
Kuhusu Adds
Kama simu ipo rooted basi pakuwa app inaitwa AdAway
Kisha Enable hutoona adds (matangazo) kwenye app zako.
3368dc63d17443057cd716b288623fa5.jpg
797d30c2c3ad20bcac58b5b82b6f79c6.jpg

Sasa niki download hiyo Adaway inakuja hizo jumbe.
 
Naombeni kuelekezwa jinsi ya ku root simu yangu natumia samsung galaxy A8
 
Kwa watumiaji wa sony hii poweramp inaizidi app ya sony music?
 
Lakini mkuu mbona bado naendelea kuyaona haya matangazo
mm mwnyw nilkua natumia android but now hii iOS imenibana

Ila mimi niltumiaga hyo hyo Lucky Putcher kufunga matangazo kwenye android ngoja nijaribishe kwa mtu kwanza nikuletee mrejesho
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    80.7 KB · Views: 60
Power Amp ina trial version ya wiki mbili. Hivyo kama hutaki mambo ya ku-root basi tumia kwa wiki 2 muda ukiisha nenda kwenye setting - apps. Hapo una clear data na ku clear cache kisha restart (zima na kuwasha simu). Ukiingia tena kwenye power amp itakupa tena wiki 2 kama umeinstall leo.

47b5d6dae2cc2ba599d78e4de7ae752b.jpg
 
Mkuu ndio maana nilitangulia kusema kwa walio root simu tena kwa herufi kubwa, sikusema mtu a root simu yake ili afuate hayo maelekezo, uamuzi wa ku root simu ni wamtu binafsi.
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom