Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Mkuu uki bofya hapo try to root ndio inafika asilimia 29 then inagoma?
Ikileta huo ujumbe chagua hapo tyr to root then tulia sehem yenye net fresh.
Yeah mkuu nikibonyeza hiyo try inafika 29% na hii mitandao yetu duu itakuwa noma sana hadi nifunge safari
 
Wakuu kwa wale ambao mmeshaziroot simu zenu ili kuipata poweramp full version bila kuzunguka zunguka ingieni play store download app inaitwa Blackmart,app hii unaweza kudownload application zote zakulipia play store..hii hapa naendelea kuburudika
1461774955945.jpg
1461774964922.jpg
1461774974967.jpg
aloo usipime ni hatari.
 
Mkuu hiyo blackmarket iwe playstore kweli! Au umemaanisha google.
Au ungeweka link inapo patikana hiyo backmarket ili kusaidia wanajukwaa.
 
Mkuu hiyo blackmarket iwe playstore kweli! Au umemaanisha google.
Au ungeweka link inapo patikana hiyo backmarket ili kusaidia wanajukwaa.
78d4c26e5186b5de8e683a6db483ae7d.jpg
9c4544203efa029b4dfb4fb652d0bd06.jpg

Mkuu na mimi kufanya rooting bado kunazingua sijui nitumie line ya Halotel au hizi maana kwingine zipo faster ila nikijaribu kuroot inazingua nimejaribu tigo na voda
Ile try to root sahizi hata siioni
 
Samsung S3 mini Android 4.1.2 nikitumia kingroot inafika 70% ina fail. Msaada plz
 
Mkuu hiyo blackmarket iwe playstore kweli! Au umemaanisha google.
Au ungeweka link inapo patikana hiyo backmarket ili kusaidia wanajukwaa.
Yeah mnisamehe nilikosea,Blackmart haipo play store inapatikana Google,samahanini kwa usumbufu wakuu.
 
Mkuu tusaidie na hayo maelekezo mengine ku remove google adds,licence verification na mautundu mengine hapo.
Kuhusu Adds
Kama simu ipo rooted basi pakuwa app inaitwa AdAway
Kisha Enable hutoona adds (matangazo) kwenye app zako.
 
Kuhusu Adds
Kama simu ipo rooted basi pakuwa app inaitwa AdAway
Kisha Enable hutoona adds (matangazo) kwenye app zako.
Na hiyo Adway naipata wapi play store au Google? Na vipi kama naitaka app ya kulipia play store kama badoo na zingine nafanyaje maana naona hizo zinakulazimu uwe na card ya malipo tofauti na hii poweramp unadownload trial then unachakachua pia kuhusu licence verification kwenye lucky partcher? Asanteh
 
App za kulipia zipo za aina mbili kuna zenye malipo ya ndani ya app na kuna zinazouzwa app kama app.
Kwa ambazo zinauzwa waweza zipata bure katika store mbali mbali kama aptoide na blackmarket, au kwenye site mbali mbali nje na playstore, na zile zenye in purchases kama badoo sio zote ambazo zina chakachulika.
 
bc3f86f0709d39ed4147c1e181a03a8f.jpg
Naomba msaada juu ya hii app tatizo lilianza pale nilipokua nahitaji nipate pro version kwa kutumia Lucky putcher sasa inakataa kabisa kuji install kwenye tablet yangu kama kuna mwenye ujuzi na hili anisaidie kwani antivirus ya avg uwa naikubali sana
 
Angalia kwanza kwenye tab yako kama ipo ambayo si installed uifute na u clear cache. Kisha jaribu tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom