Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

SangaweJr

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
2,972
2,633
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED
Kama simu yako umeshai ROOT
IMEHUISHWA:
KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER
PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX

Haya sasa twende hatua kwa hatua
1. Dawnload poweramp trial version 2.0.9 build 554 na kuendelea kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
6ccc28112077a255079fd8028fbfa0f4.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp
 
Ndio maana watengeneza application wengi awapendi kutengeneza app za Android kwanza. Maana wizi umezidi sana hata awapati kitu.
Alafu hako ni kaapplication Ka 8,000 tu ingekuwa photoshop ya 600,000+ ningekuelewa.
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp...
Mkuu htc yangu ipo marshamallow nataka kuroot nitumie ipi
Natumia kingroot version 4.9. 0 inafika asilimia 30 inagoma
 
Mkuu samahan nijuze faida ya hii ktu?
 
Mkuu htc yangu ipo marshamallow nataka kuroot nitumie ipi
Natumia kingroot version 4.9. 0 inafika asilimia 30 inagoma
Mkuu kwa htc sina hakika sana hebu tafuta kingroot v4.8.0 halafu tafuta sehem ambayo internet iko faster kisha fanya hilo zoezi mkuu.
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
 
Basi poa hiyo njia hapo ni kwa Rooted device mkuu.
Sio mbaya wewe kuweka kwa simu ambazo si rooted ili mtu asishawishike ku root simu.
Pamoja sana.

vyovyote tu mkuu Hans Pol unaweza kuwa na rooted au device ambayo haipo rooted kama mtu anataka kujifunza jinsi ya kupatch apps anaweza tumia lucky putcher kama anataka shortcut anaweza download
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom