Elections 2010 Chaguo Letu Bumbuli: January Makamba

"Hakuna parliamentary voting for all constituents which have only one contentant"; Hata ballot paper hazita-be-printed.

Weekend njema.
 
Vielelezo vya uchaguzi mkuu-:
Tarehe ya uchaguzi mkuu wa Raisi,ubunge,udiwani ni 31 Oct 2010
Mpiga kura sharti awe Raia Mtanzania aliejiandikisha kwenye daftari ya wapiga kura.
Maswali mepesi-:1.Je Bw January Makamba atakuwa amechaguliwa katika uchaguzi mkuu 31 Oct 2010 au uchaguzi mdogo?
2.Je Wapiga kura wa Bambuli wametimiza haki yao ya msingi kikatiba?
 
Suala hapa si kuwa kama hatopata kura hata moja; suala hapa ni kuwa mgombeaji anayesimama bila kupingwa ni idadi ngapi ya kura atahitaji ili awe amepita (assume wanaopiga kura wengi wameenda vituoni ila wamegoma kupiga kura)? Mie najua two-third majority au 50+1 rule ila kama kuna nyingine haswa kwetu Tanzania basi naomba tueleweshane tafadhali. Nawasilisha Hoja.
 
Sina uhakika kwamba unaelewa kuwa mgombea pekee hapigiwi kura na wananchi, bali anapitishwa kuwa mbunge bila kupigiwa kura na wananchi.

Ona

https://www.jamiiforums.com/uchaguz...tu-bumbuli-january-makamba-2.html#post1065317

Kama post yako inahusika zaidi na kupanga upigaji kura unaoridhisha zaidi ( kidemokrasia) mimi naona majimbo yenye mgombea pekee wananchi wapewe nafasi ya kupiga kura ya "NDIYO" au "HAPANA" na mgombea akipata zaidi ya 50% apitishwe kuwa mbunge.

Kumpitisha mbunge bila ya wananchi kupiga kura hakumpi faida mgombea, sana sana kunamfanya mbunge aonekane hana legitimacy, kwamba amepitishwa bila ya ridhaa ya wananchi. Hata mgombea mwenye akili hawezi kufurahia hili, hususan kama anajua ana uwezo wa kupitishwa na wananchi.

Kimsingi, sheria hii ya kupitisha wagombea bila uchaguzi ni unconstitutional sio tu kwa sababu inawanyima wananchi haki yao ya kikatiba kumchagua mgombea wanayemtaka, bali pia kwa sababu inamnyima mgombea haki yake ya kimsingi ya kupigiwa kura na wananchi. January hata akiwa mbunge kwa kupitishwa hivi, atakosa bragging rights kwamba ni mbunge wa wananchi, the most he can claim ni kwamba kashinda kura za maoni za CCM.
 
Hivi hako ka-msemo huwa kana maanisha nini?.
Mkuu -Ukiangalia TV utaoona matangazo mbalimbali ya kuhamasisha mazungumzo, hasa baina ya wanandoa, ambayo huishia na kausemi hako - kwa maana ya kwamba watu wa Marekani wamefadhili hayo matangazo.
 
Amejitahidi kufanya jambo la kipekee,kusema ukweli imetulia sana.
 
Well, kwa hisani ya watu wa Marekani naona January kafanya kitu ambacho ni kigeni kwa siasa za Tanzania hususan katika ugombeaji ubunge. Angalia onyesho la awali la filamu yake kuhusu safari yake ya ushindi wa kiti cha ubunge cha Bumbuli.....:llama:

YouTube - January Makamba's Safari Ya Ushindi: Ubunge Jimbo la Bumbuli (Road to Victory)

Ameruhusiwa na Makamba?????????? Au kwa sababu ni baba yake! Otherwise wakuu naona tusubiri huyu dogo akishaingia huko mjengoni je atafanya nini???????

Masha's hangovers bado hazijaisha!!!!!!!
 
Ngabu kaka, thanks for sharing this. The goal is to transform and transcending the way folks conduct their politics. The next phase is to raise the level of debate bungeni--and actually accomplishing stuff.
 
Ebana Selemani,
hivi ni kweli kuwa mkwe wa Makamba (katibu mkuu) alikimbilia marekani kujifungua huko kwa vile hospitali za bongo miyeyusho?
 
Ndio Mwafrica, that is correct. Vidole havilingani babu

But you know that's not a good look, right? Unless you tell me it was medically necessary but anything outside of that is definitely not a good look.

Uzalendo uko wapi? Na mtoto azaliwe Nyamwezi ili iweje? awe raia siyo? Ili baadae asome kwenye shule za US siyo?

Kwa wakati huo huo mnagombea nafasi za kisiasa mkihubiri uzalendo na mapenzi kwa nchi yenu. WTF????!!!!!
 
lol

I guess these wagosi are phat-ignorant preys who can easily be tricked there's chocolate in every box...
 
Ushindi ungenoga zaidi kama wananchi wangepiga kura, as opposed tu mbunge kupitishwa bila kupigiwa kura.
 
But you know that's not a good look, right? Unless you tell me it was medically necessary but anything outside of that is definitely not a good look.

Uzalendo uko wapi?

Bwana Mwafrica wants to hear what he wants to hear. Na he pretend kwamba anajua sababu zote, sasa kaka why should I waste my time arguing with him. Whenever folks are running around like they know everything. Its best to let them be.
 
It was just a simple question .. take it easy broda. This was just a question but if you wanna make it an argument, you can just do it,
 
Back
Top Bottom