Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Nipe pesa ya soda nikuitie. . . .
ayaaaaaa
Nipe pesa ya soda nikuitie. . . .
ayaaaaaa
Namshangaa... Juzi alijinadi dau lake milioni... Akampunguzia mtu hadi laki tisa na tisini elfu...
Leo kalipandisha hadi milioni na nusu!
he he he
jG bana
wameshamchagua nayekukutaga naye mnapika unajidai eti wakuachie
unataka sklepa?
Thanks darling! Yaani usingenitaja ningekununia mpaka mwaka uishe!... Tutakuwa pamoja kama kawaida yetu!
Hah!
Am spichiles!
Are you for real?
Nilidhani fang ni program kwa ajili ya like once in a year na kukamata wakorofi.
Husyn, you are in trouble, ukisema tu No bunsen banner mwaka mzima.
hehehehe! Niseme NO nina kichaa! Lol, acha maneno usije ukanipeperushia fang.
Swahiba maneno yako yamenifanya niamini kuwa kweli urafiki wetu ni wa shida na raha! Mie penda wewe sana! Utoke na uporoto tafadhali.
Mbona Banned sasa? Na I was prepared pia...Namtaka RussianRoulette... And I mean it!