panga foleni.
hajazidisha wala nini. Sometimes price ya kitu inadetermine quality yake eeh. Na targeted market yake sio kwa wavuja jasho. Lol.
Mi afrodenz mtu asiguse nitauwa mtu hapa, afro uko wapi unitumie japo gift ya animation?
shemeji shemeji...!
Anhaa....
Interesting!
Chaguaneni weee,
ila mtubakizie tu!
Husninyo will you kindly honor this poor dude your valuable and cherished company on valentine?
Mi nimemchagua Lizzy! Lizzy uko wapi jamani Lizzy wangu?
Mi afrodenz mtu asiguse nitauwa mtu hapa, afro uko wapi unitumie japo gift ya animation?
Thanks darling! Yaani usingenitaja ningekununia mpaka mwaka uishe!... Tutakuwa pamoja kama kawaida yetu!Mimi nataka nitoke na Sweatylady naomba mtu hapa asiniingilie
Swahiba maneno yako yamenifanya niamini kuwa kweli urafiki wetu ni wa shida na raha! Mie penda wewe sana! Utoke na uporoto tafadhali.swahiba wangu arudi salama tafadhali.