Chagua wa kutoka nae valentine day kutoka jf.

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,723
9,189
Jamani, siku ndio hizo zinajivuta. Hebu chagua wa kwenda kutembea nae siku ya valentine ila awe ametoka humu.
NB: Matembezi ni humu humu, mkiamua kwenda chit chat hakikisha na partner wako anakuja. Kama jukwaa la wakubwa muwe wote (ila muwe mmevaa nguo).
 
Me na-search,atakaejitokeza pliz anitaarifu...i real waiting that day!!
 
Yeyote ambaye anataka ku'experiece ril funny anicheck kama vp am a free agent.
 
sasa ukishataja price si ndio biashara yenyewe hiyo? Thats service business and I'll be your client...
A'm not givin' up yet, STATE YOUR PRICE, MADAM!


nisha stae. Yes ni biashara kesho yake nakuangalia kam cjawah kuona maishan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom