mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.
Mkuu, hata kama huoni hata kusikia nako husikii mvumo huu wa wind of change blowing all over Tz now?
Halafu huyo Mboye ndiye nani? Na sheria za Tz zinaruhusu madanguro?
Aidha nieleweshe tafadhali, hivi Mhe. Rais hujipangia mshahara wa kujilipa?
Niishie na kukupa pole mkuu.