CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

kanyaga wese twende, maliza spidi zote hata kwenye kona hakuna kupunguza, VIVA M4C
 
wataalamu wanasema binadamu anapopatwa na matatizo na taabu ndo anapata akili ya kuyatatua.....watu wa mikoa ya kusini wamepata taabu sana kwa miaka 50....sasa wamepata akili ya kuvua gamba na taratibu wanavaa gwanda....
propaganda za ccm za udini kwa chadema ni kama kujiwekea kiroba kwenye bia zao....watalewaaa wakiamka tushawapoka wanachama!!!
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
Mkuu mawazo yako hayajawafikia wananchi, hasa wa Mtwara sababu unazijua?.
1. Miundombinu mibovu
2.Wana gesi lakini umeme cheche
3.Tarakinishi kwao ni kipindupindu.

humu tunakupiga nyundo za kichwa utatulia.
Waambie wanamaganba wakubwa wako waende kwa wananchi wawape maoni yako humu huna chako!.
 
Yani sahivi ni raha tu jaman kuwa mfuasi au mshabiki wa CDM! CDM ni wazee wa sera, CCM ni wazee wa propaganda! watasema nini watu wawaelewe!!! Lazima uwe na akili za mwendawazimu ili uweze kukishabikia na kuitetea CCM.
 
Nape Napeeeeeeee...... Njooo uone CHADEMA wamechakachukua picha. Idadi hii ya watu haiwezi kuwa kweli ilikuwa Mtwara. Kanusha na utueleze hii picha ilipigwa wapi?

Huko si ndiyo asili yako. Sema basi kwamba umati huu ulikuwa unawasanifu tu CHADEMA.
 
Ninaliona kosa la waziwazi la hawa jamaa wa Vua gamba Vaa gwanda. Nalo ni kutoweka ratiba ya kuja kuikomboa Serengeti. Kwa wale wasioifahamu Serengeti iko wapi, ni kwamba hili ni jimbo lililoko wazi tangu mwaka 2010. Anayefanya kazi ya Uwakilishi ni Mbunge wa Musoma (M) Mh. Vicent Kiboko Nyerere. Hebu makamanda njooni hapa Mugumu (Serengeti) Uwanja wa Mbuzi na kama hapatoshi tutahamia Uwanja wa Sokoine mpaka Magamba yote yavae Magwanda. Pleaaaase!!!!!!!!
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.
akili yako kweli ipo juu kwa juu!relation iko wapi in red?unapayukapayuka tu!mnalo mwaka huu!
 
mboye unadhani watz hawajui kuwa wewe wewe ni mchuuzi , kweli mmiliki wa danguro awe rais wa nchi watz wanajua na ulimwengu unajua. Dr slaa analipwa mil 7.5m kwa mwezi. Akiwa rais atataka kulipwa 100m kwa mwezI kwa vile amekaa nje ya bunge kwa muda. Tamaa ,ukanda na uroho wa madaraka ndio sifa ya viongozi wa chadema. Maendeleo yaliyopo kusini sasa ni matokeo ya kazi ambao mtu mwenye akili timamu hawezi kubisha.

Ama kweli kufikiri kwa kutumia "masaburi" kazi balaaaaaaaaaaaa

  • :sleepy:
 
u2mbo wanaofanya vigogo wa thithihemu umewacothst, wanajichana neshno keki wamegeuza nchi pango la wanyang,anyi
 
Kwa mwendo huu sisi CCM tunaiagiza serikali isifanye mapitio ya daftari la wapiga kura katika uchaguzi wa 2015. Daftari lililotumika 2010 litabaki hilo hilo kwani ni gharama sana kulifanyia mapitio na hata CDM ni mashaidi kuwa hazina ya Taifa ni kiduchu
 
Back
Top Bottom