CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Wewe na baba yako mtabaki kuwa wachumia matumbo miaka lake Nane, mtatumikishwa na Ukawa mpaka mkome, na nchi hii itaongozwa na CCM mwanzo mwisho! Utake usitake hilo halina ubishi.

Hayo ni mawazo yako yalivyofinyu kumbuka Watz waleo si wa mwaka 47, na ww umezoea kuishi kwa kukariri umeridhika na buku 7 zako,
Watz wanahitaji mabadiliko na wanauona huu ufisad mnaoufanya live,
Rasilimaliza tulizonazo mmeshindwa kuwanufaisha Wananchi bal mnajinufaisha nyie mafisad halafu unakaa hapa na kusema mtaendelea kutawala kivip? Itakuwa unawashwa najua unamfurahisha bwana wako baadae unapokea buku 7
Nabishana na mtu alie kichaa cha fisi maana akil zako ndo zilipoishia hapo umejitoa ufaham,
 
Chama kikikosa dira huanza kutafuta namna ya kuwagawa watz kwa kutumia udini, ukanda, ukabila na kukumbatia mafisadi.......ccm NDIPO ILIPOFIKIA NA NDIPO ILIPOTUFIKISHA
 
Kibaka mmeo mbowe na Slaa waliokwiba fedha za ruzuku wakaenda kuwahonga makahaba zao

Majiz nyie, mafisad, magaid wa Nchi hii nyie mnaoenda kutanua huku ulaya na msanii mmoja hivi wa Movie kwa pesa za walipa kodi, nyambafu mnakufa rasmi oct sasa mnapigana vikumbo kwenye urais, naona Ikulu sasa pamekuwa pa wauza unga.
 
Hayo ni mawazo yako yalivyofinyu kumbuka Watz waleo si wa mwaka 47, na ww umezoea kuishi kwa kukariri umeridhika na buku 7 zako,
Watz wanahitaji mabadiliko na wanauona huu ufisad mnaoufanya live,
Rasilimaliza tulizonazo mmeshindwa kuwanufaisha Wananchi bal mnajinufaisha nyie mafisad halafu unakaa hapa na kusema mtaendelea kutawala kivip? Itakuwa unawashwa najua unamfurahisha bwana wako baadae unapokea buku 7
Nabishana na mtu alie kichaa cha fisi maana akil zako ndo zilipoishia hapo umejitoa ufaham,
Piga kelele zako hizo maan wewe ni CHURA sasa nkwambie kuwa kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji, kenge weeee!
 
Majiz nyie, mafisad, magaid wa Nchi hii nyie mnaoenda kutanua huku ulaya na msanii mmoja hivi wa Movie kwa pesa za walipa kodi, nyambafu mnakufa rasmi oct sasa mnapigana vikumbo kwenye urais, naona Ikulu sasa pamekuwa pa wauza unga.
Umeishiwa hoja wewe nenda kajifungue hiyo mimba alokupa Dr. slaa ndo uje kubishana humu ndani, sibishani na wajawazito kama wewe! Utanipa mada case
 
makongoro nyerere ccm inaongozwa na vibaka lissu ananukuu

lisu mjinga makongoro kasema ccm kuna vibaka na siyo ccm pekee mpaka upinzani wapo akasema mimi nitaelezea chama changu ccm nawapo wachache hao vibaka wanabaka kwa kutaka madaraka kwa pesa
 
Pole sana kama unafanya kazi ya kujichumia tumbo lako kwa kumiliki id nyingi hapa wala halitokusaidia kitu, maana hapa ni dozi tuuu mpaka utaelewa tu, punguza jazba njaa itakuua maana unavyoongea utadhani umekabwa kooni! Hahahaha pole sana maneno yangu najua yankuumiza sana. Ila ndo huvo vumilia tu ndo ukubwa huo.

Hapa sina hasir ewe mfu wa ccm na wala sina njaa,
Mtu mwenye Njaa ni ww unahongwa buku 7 za lumumba haya maliza hapa ukachukue buku 7 yako umefanya kazi kubwa sana kwa kutetea mafisadi huku mama yako akitaabika kijijin, hizo njaa zitakuumbua cku moja ipo cku tu.
 
Tunacho jadili hapa ni watu wa dodoma wamepewa elim ya uraia wameelewa sasa mambulula wengine wanakuja hapa kuvuja matusi badala ya kuwapongeza ahsante dodoma kwa kazi ya Mungu mlio fanya leo mafisi yote yamejificha msibani mji umetekwa na wenye nchi
 
Mkuu sijui hivi vimsukule vya fisi leo vimeachiwa kutoka msituni vinakuja kubwabwaja bwabwaja tu cjui vimelishwa maharaga mabichi maana vimejitoa ufaham kwa buku 7 tu
 
Ifikapo okto a usije ukabadili id yako maana nitakutafuta nikuumbue kwa chama chenu cha walala njaa kukosa urais

Mlala njaa niwewe unae ishi kwakuuza utu wako kwa bu7 nakurushiwa kanga na kofia pole mdada ujasoma alama za nyakati. Ahsanteni Ukawa kwaku wabinyia mafisi dawa mpaka yametoka porini
 
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.

Usifikiri ni mkutano wa Lowasa ambao watu wanagaiwa fedha ili waende.
 
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Mwulize Goodluck Jonathan wa Nigeria,amekabidhi nchi kwa shingo upande maana hakuamini macho yake kama usivyoamini wewe keng...!
 
Huna jipya wewe mchumia tumbo kojoa ulale

Rudi kwenye hoja ewe fisi wapongeze wananchi wadodoma kwa kupata elim ya uraia, maana alibinywa na mafisi mm nitaenda kulala home bac nawe msukule wa porin a.k.a fisi mda umeshaenda sn toka mjin utashikwa sasa peleka mkia wako kwa maboc zako, buku 7 iko mezan wah ofc za lumba zitafungwa.
 
Hakika hii ndiyo Chadema tuitakayo.Dodoma imeamka!

Hongereni makamanda!
 
Ukubwa wa pua sio uwingi wa makamasi, wewe usidhani kujaa kwa watu ndo kupata uongozi ama wadhifa fulani mahali fulani, wengi wanakuja kuwachots nyota na mkimaliza ujinga wenu hao wanasepa zao.

kukaa madarakani muda mrefu sio kama unajua kuongoza vizuri.
 
Back
Top Bottom