Kwa mafanikio haya nayaona maandamano ya Dodoma yakiishia Chamwino

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,802
71,229
Kumekuwepo na mwendelezo mzuri maana waandamanaji wameelewa kuwa kumbe ni ya Amani na ujumbe wa Masahibu yao unafika kunako mfupa.

Sasa yale yajayo yawe Dodoma na washiriki wawe;

  • Viongozi wa vyama wakiongozwa na Chadema.
  • Wananchi wa Kawaida.
  • Vijana wahitimu wa elimu ngazi mbalimbali.
  • Wastaafu wa zamani wasio jaliwa na hii serikali.
  • Askari wetu wa JWTZ, POLICE, MAGEREZA, JKT nk ambao wanajua kwa sheria hizi zilizopo wanastaafu na kuwa masikini na hakuna wa kuwajali.

Nahisi maandamano hayo ya AMANI kwenda Chamwino yatakuwa ya ombi la AMANI kuwaambia watupishe IMETOSHA.

Nimeandika ujumbe huu kwa niliyo ona Arusha.
 
Hakuna tija, umuhimu wala maana yoyote.....

Ni kujipotezea muda tu na kuwasumbua watu binafsi na viongozi wa umma wenye kazi na majukumu yao mazito ya ujenzi wa Taifa bora na Imara sana la Tanzania.
 
Kumekuwepo na mwendelezo mzuri maana waandamanaji wameelewa kuwa kumbe ni ya Amani na ujumbe wa Masahibu yao unafika kunako mfupa...
Kila zao lina mbegu yake. Ili mbegu iote ni lazima ipandwe..Ili ikue ni lazima ipaliliwe. Maandamano ni mbegu ya kuonesha kilio cha watanzania.

Mbegu hii inaota taratibu.. Jinsi muda unavyoenda tuanaona watu wanakuwa jasiri...Ole wao wajichanganye watawala kuizuia mbegu hii kukua na kustawi
 
Kumekuwepo na mwendelezo mzuri maana waandamanaji wameelewa kuwa kumbe ni ya Amani na ujumbe wa Masahibu yao unafika kunako mfupa.

Sasa yale yajayo yawe Dodoma na washiriki wawe;

  • Viongozi wa vyama wakiongozwa na Chadema.
  • Wananchi wa Kawaida.
  • Vijana wahitimu wa elimu ngazi mbalimbali.
  • Wastaafu wa zamani wasio jaliwa na hii serikali.
  • Askari wetu wa JWTZ, POLICE, MAGEREZA, JKT nk ambao wanajua kwa sheria hizi zilizopo wanastaafu na kuwa masikini na hakuna wa kuwajali.

Nahisi maandamano hayo ya AMANI kwenda Chamwino yatakuwa ya ombi la AMANI kuwaambia watupishe IMETOSHA.

Nimeandika ujumbe huu kwa niliyo ona Arusha.
Yanahusu nini sukari au bei ya mafuta
 
Hakuna tija, umuhimu wala maana yoyote.....

Ni kujipotezea muda tu na kuwasumbua watu binafsi na viongozi wa umma wenye kazi na majukumu yao mazito ya ujenzi wa Taifa bora na Imara sana la Tanzania.
Wazee wa Kupita bila kupingwa mmekaza fuvu
 
Back
Top Bottom