ommy255
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 1,041
- 226
Wewe na baba yako mtabaki kuwa wachumia matumbo miaka lake Nane, mtatumikishwa na Ukawa mpaka mkome, na nchi hii itaongozwa na CCM mwanzo mwisho! Utake usitake hilo halina ubishi.
Hayo ni mawazo yako yalivyofinyu kumbuka Watz waleo si wa mwaka 47, na ww umezoea kuishi kwa kukariri umeridhika na buku 7 zako,
Watz wanahitaji mabadiliko na wanauona huu ufisad mnaoufanya live,
Rasilimaliza tulizonazo mmeshindwa kuwanufaisha Wananchi bal mnajinufaisha nyie mafisad halafu unakaa hapa na kusema mtaendelea kutawala kivip? Itakuwa unawashwa najua unamfurahisha bwana wako baadae unapokea buku 7
Nabishana na mtu alie kichaa cha fisi maana akil zako ndo zilipoishia hapo umejitoa ufaham,