CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Sababu mmezoea ujanjaujanja ndiyo maana akili yako haipokei kile macho kinachoonyesha kweli bado kuna kazi.
Tatizo lako akili ayko inafanana na hiyo ya avatar yako maana mbuzi hanaga akili ndo mana unashabikia ujinga ujinga tu hapo!
 
Sasa wew jamaa HOVYO..ndo unaona hawa ni watu ,kwenye manispaa kama Dodoma ,kwanza mpiga picha kapiga kijanja janja ili ionekana halaiki ya watu

Si bure unafikir sisi tumezoea kutembea na fisi ndo watu wajae?
Kwl akil zako zimefanana na mafisi mnayotembea nayo ili kuwavutia watu uganga hd mikutanoni duuuh utakubal kiaina tu maana umejitoa ufaham
 
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame

Wewe bila shaka ni wale vibaka anaosema Makongoro Nyerere .....
 
si bure unafikir sisi tumezoea kutembea na fisi ndo watu wajae?
Kwl akil zako zimefanana na mafisi mnayotembea nayo ili kuwavutia watu uganga hd mikutanoni duuuh utakubal kiaina tu maana umejitoa ufaham
you must be abnormal and a oaranormal human being!
 
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu is going to be a turning point ya siasa za nchi hii na utaamua hatma ya chama kilichoko madarakani, ama kuwa chama cha upinzani au kifuate njia ya KANU na UNIP, yaani kujifia. It either of the two. No more options.
 
Asante Kamanda Makene
 
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame

Peleka upuuzi wako huko, kama unakumbuka watu waliopigwa risasi kwenye uwanja wa soweto Arusha na watu wa4 walipoteza maisha na mamia ya watu kujeruhiwa mbona bunge liliendelea?
Au mlione wale si Watz?
Fikiri kwa akil achakufikir kwa mat....k......o, nyie mnakufa mkiwa usinngizini sisi tunakufa kwa kupigwa Risasi na police ccm.
 
Chadema moto chini mpaka magamba yanatoa povu Ahsanteni makamanda akuna kulala mpaka maboya ya ccm yalale
 
Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu is going to be a turning point ya siasa za nchi hii na utaamua hatma ya chama kilichoko madarakani, ama kuwa chama cha upinzani au kifuate njia ya KANU na UNIP, yaani kujifia. It either of the two. No more options.
Wewe mfa maji, acha porojo zako, hayo ndo maneno yenu kila siku wala hayana effect zozote, we endelea kuvuta bangi zako na viroba na endelea kuropoka ovyo afu uone kama mntafika.
 
Maccm yanapataga shida sana yakiona umat mkubwa ktk sehemu walosemaga ccm ndio mama wa Dodoma now wanatafutana huu moto ni nchi nzima mpaka ikulu viva chama kubwa CHADEMA wouuuu
 
Wewe mfa maji, acha porojo zako, hayo ndo maneno yenu kila siku wala hayana effect zozote, we endelea kuvuta bangi zako na viroba na endelea kuropoka ovyo afu uone kama mntafika.

Kibaka mwingine huyu ....kwa mujibu wa Makongoro Nyerere mgombea urais wa CCM "CCM inaongozwa na Vibaka"
 
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja
attachment.php

attachment.php

Well done . Hawataamini last minutes
 
Back
Top Bottom