CHADEMA yashinda rufaa Sumbawanga Mjini

na huku jk akiendelea kuzurula hovyo ulaya na amerika, na kuvutwa na mikokoteni

Mkuu lakini ujue ule sio mkokoteni wa kawaida. Kwa taarifa yako, lile ni gari la ki-falme na ni wachache mno wanapata bahati ya lifti humo.
 
na huku jk akiendelea kuzurula hovyo ulaya na amerika, na kuvutwa na mikokoteni
Ziara zingine anaalikwa jamani tena kwa gharama zao. Hivi kupanda ile toroli kumewagharimu nini WATANZANIA? Haya ya chaguzi ndogo ni ya kujitakia. Tunafanya chaguzi za hovyo halafu tunaingia gharama za kijinga za KISIASA!
 
Tangu awamu ya nne na hata ya tatu ya utawala ya serikali tawala hakika haki ilishakuwa ni hafifu sana ndani ya chombo hiki kinachoitwa MAHAKAMA!

Mkuu kwani tangu lini Mahakama ya Tanzania iliacha kuaminika?

Tuna hasara sana uongozi ulioko ngazi lengwa!
 
Background kidogo basi maana si kila mtu anaelewa vizuri juu ya uzi wako. Kiufupi funguka!!!
 
Chama cha CHADEMA kimeshinda rufaa iliyokatwa na aliyekua mbunge wa SUMBAWANGA MJINI BW. AESH HILALY BAADA YA RUFAA HYO KUTUPWA NA MAHAKA LEO.

Tunashukuru sana kwa taarifa nzuri.Hapa mahakama imetenda haki.
 
Mods,
Embu fuatilieni hili suala halafu tujue kama ni kweli; kama ni uongo uzi ufutwe na mtoaji apewe hukumu inayomstahili(lakini apwe haki ya kusikilizwa kwanza!)

Maana naona huku ya Lema ilitoka mapewa kabla ya ya Aeshy; na wala hatukusikia kuwa Aeshy amekata rufaa na hao majaji wa Mahakama ya Rufaa waliokaa walikuwa ni akina nani, walikaa lini na hukumu ilitolewa lini na hasa mambo gani yaliyokuwa yanabishaniwa na yaliyotolewa maamuzi.

La sivyo, hapa patakuwa sasa ni kijiwe kama vile FB.
 
Haki huinua taifa... Mahakama imetenda haki na Arusha kwa Lema watatenda haki?
 
Kweli kabisa wasije wakawa wana jaribu kutufariji hili waaharibu ya Arusha. Lets wait!

Ndo mchezo wao cku hizi. wanatanguliza kuwafrahisha then wanaumiza zaidi Arusha ili kuweka balance lkn dhamira yao imetimia kwa Lema Arusha. tuwe makini na utangulizi huu wa sumbawanga.
 
Mi bado nina swali ambalo sijawahi kupata jibu,mbunge akashachaguliwa anapewa 90 ml 45 mkopo na 45 za kujikimu na hulipa ndani ya 5 yrs sasa G lema na huyo Hilary inakuweje hapo.
Huu uzi unakimbia sana sijui kama nitaliona jibu kwani natumia simu
 
Mi bado nina swali ambalo sijawahi kupata jibu,mbunge akashachaguliwa anapewa 90 ml 45 mkopo na 45 za kujikimu na hulipa ndani ya 5 yrs sasa G lema na huyo Hilary inakuweje hapo.
Huu uzi unakimbia sana sijui kama nitaliona jibu kwani natumia simu

Uzi wala haukimbii sana maana mtoa habari kaleta kipande cha habari na hivyo kufanya watu wasiipe umuhimu,
 
Back
Top Bottom