CHADEMA yashinda rufaa Sumbawanga Mjini

Kwenye kampeni za Arumeru tulisikia Mkapa alishiriki kumuua mwalimu kwenye kampeni za sumbawanga tutegemee lipi??
 
Ndo mchezo wao cku hizi. wanatanguliza kuwafrahisha then wanaumiza zaidi Arusha ili kuweka balance lkn dhamira yao imetimia kwa Lema Arusha. tuwe makini na utangulizi huu wa sumbawanga.

hata walipomwegua lema walitufurahisha na nasari wakati tukifrahi wakamwengua lema
 
tusubiri isije kukawa na kuna kitu nyuma yake maana hawa magamba wanabaidilika kama nyoka leo kjitoa gamba ila lao halitoki lishang'ang'ania
 
ni majaji walikuwa akina nani? Hebu funguka bana

nilipo ona thread hii na nikikumbuka kilicho tokea Arusha nikasikitika sana lakini kwa kuwa mbunge wangu kila siku huni kumbusha kuwa hakuna dhambi mbaya kama uoga acha niipe nafasi dhambi hii kwa kuwa hata tukirudi kwenye game ninaimani tutawagalagaza mabwepande..
 
Kwenye kampeni za Arumeru tulisikia Mkapa alishiriki kumuua mwalimu kwenye kampeni za sumbawanga tutegemee lipi??

Sumu iliyotumika kumuua...kwani bado anakiherehere cha kwenda kupima watu DNA kwa macho...mkapa mpuuzi kweli
 
Ziara zingine anaalikwa jamani tena kwa gharama zao. Hivi kupanda ile toroli kumewagharimu nini WATANZANIA? Haya ya chaguzi ndogo ni ya kujitakia. Tunafanya chaguzi za hovyo halafu tunaingia gharama za kijinga za KISIASA!

Mkuu, kwahiyo kama ni wewe mkeo akifungwa jela ka dhuluma, kwa kunyang'anywa haki, hutahangaika kuweka mawakili wazuri na kukata rufaa kwasabau ni expensive in your part?kwamba afadhali mkeo atumikie kifungo ...
 
nilipo ona thread hii na nikikumbuka kilicho tokea Arusha nikasikitika sana lakini kwa kuwa mbunge wangu kila siku huni kumbusha kuwa hakuna dhambi mbaya kama uoga acha niipe nafasi dhambi hii kwa kuwa hata tukirudi kwenye game ninaimani tutawagalagaza mabwepande..

Hii ishu ya Sumbawanga bado ina utata. hii hoja laini sana
 
AH! Kodi zetu ziendelee kuteketea tu huku wanetu wakiendelea kukaa sakafuni!
Kwani Hawa Ng'umbi, Mpesya, Siame na wale wana CCM walipokata rufaa kupinga matokeo kodi zetu zilikuwa hazitumika vibaya? Unataka kusingizia chaguzi ndogo kwamba zinamaliza hela wakati hujatuambia thithimwewe walitumia shilingi ngapi kwenye chaguzi zao?
 
Swali zuri sana ndo utajua unafiki wa pro Cdm

wewe ndiyo kilaza, chadema haikusema haina imani na mahakama kama mhimili ila ilisema haina imani na baadhi ya majaji kama huyo aliyepooza na ndiyo maana tulikata rufaa kabla hatu utuhumu mhimili huo..
 
Haya,kipindi cha neema kinanukia (KULA CCM,KURA CHADEMA),jamani hivi nauli from Mwanza to Sumbawanga ni sh ngapi kwa sasa?
 
Ndugu zanguni naomba niwasilishe rasmi ninalojua kuhusiana na suala hili la Sumbawanga. Kwanza naomba kukiri kuwa mimi nafahamiana kwa Karibu na Mwl. Yamsebo na jambo hili la Rufaa linafahamika vyema kwa wanaharakati wote wanaitakia mema nchi yetu. Wiki jana wanaharakati na wanachadema wa Sumbawanga walimchangia Mwl pesa kwa ajili ya safari yake ya Dar ili kwenda kusikiliza hukumu hiyo ambayo ilipangwa kutolewa leo. Mnamo mida ya saa 4:15 asubuhi Mwl. Yamsebo mwenyewe alipiga simu akiwa ndo anatoka mahakamani na kutupa taarifa hii nzuri kuwa Mahakama imetupilia mbali rufaa na ushindi ni wetu. Habari hii si uzushi na mwenye hofu afuatilie zaidi kwa bidii zake kwani hata vyombo vyetu vya habari mpaka sasa hawana wanalojua husiana na hili.
 
Kama ni kweli basi kuna maeneo mengine humu nchini ni mbali na Tanzania!!!

nakubaliana nawe mkuu maana hii rufaa sijaisikia tangu hukumu ya mahakama kuu itoke, huyu Aeshi ilidaiwa hajakata rufaa, tukaambiwa majuzi siku zimeisha na rufaa haikukatwa, ghafla tunaambiwa hukumu imetoka, kweli Tanzania linchi likubwa sanaaaa
 
Back
Top Bottom