CHADEMA yashinda rufaa Sumbawanga Mjini

Mi bado nina swali ambalo sijawahi kupata jibu,mbunge akashachaguliwa anapewa 90 ml 45 mkopo na 45 za kujikimu na hulipa ndani ya 5 yrs sasa G lema na huyo Hilary inakuweje hapo.
Huu uzi unakimbia sana sijui kama nitaliona jibu kwani natumia simu
Hili swali 2nahtaji majibu ya Molemo
 
AH! Kodi zetu ziendelee kuteketea tu huku wanetu wakiendelea kukaa sakafuni!

MKUU wilCard, mimi ninaona ni heri kodi zetu zikatumika kwenye chaguzi kwa sababu zinawanufaisha wapigakura wa tz, kuliko mtindo wa magamba kuzificha Uswiss, au kununulia Ma-Dalbit na M-Lake Oil NK.yanayoharibu barabara zetu kwa manufaa ya wachache.
 
Kutupilia mbali rufaa ya Aeishi ndo ulikuwa uamuzi pekee hata kama mahakama ingekuwa ya mwanzo.
 
Kama ni kweli basi s/wanga ni mbali kutoka Tanzania kimawasiliano. Napendekeza huo mkoa tuwape wamalawi tu ili tuondokane na mgogoro wa mpaka
 
Mkuu lakini ujue ule sio mkokoteni wa kawaida. Kwa taarifa yako, lile ni gari la ki-falme na ni wachache mno wanapata bahati ya lifti humo.

Mangungo alipewa hereni na bangili na wajerumani akasaini treaty ya kuiuza mzovero.

Kikwete amepewa lifti ya gari la farasi subirini atakavyoweka saini yake kuiuza Tanzania
 
na huku jk akiendelea kuzurula hovyo ulaya na amerika, na kuvutwa na mikokoteni

Malafyale Ndomyana, WilCard hajaliaona hili ambalo Dr. dhaifu na magamba wenzake wanavyocheze kido zetu lol!
 
tunacho taka Rema ashinde hamna kubalance wala kutupiga changa la macho. mia
 
"(Mkuu lakini ujue ule sio mkokoteni wa kawaida. Kwa taarifa yako, lile ni gari la ki-falme na ni wachache mno wanapata bahati ya lifti humo.)"

Mkuu dudus, hii ni kupenda sifa na kukosa ubunifu! Dr. Dhaifu angekuwa na huruma na watz. angelekeza wa hunzi wa vyuma chakavu wamtengenezee vimkokoteni kama vile vya kila sample awe anavutwa na frasi wa hapa bongo kila weekend kusave pesa za walalahoi wa tz.
 
Hapa sijui kama Mh.Lema atapona mimi leo acha nishangirie kimnya kimnya tu!
 
Mods,
Embu fuatilieni hili suala halafu tujue kama ni kweli; kama ni uongo uzi ufutwe na mtoaji apewe hukumu inayomstahili(lakini apwe haki ya kusikilizwa kwanza!)

Maana naona huku ya Lema ilitoka mapewa kabla ya ya Aeshy; na wala hatukusikia kuwa Aeshy amekata rufaa na hao majaji wa Mahakama ya Rufaa waliokaa walikuwa ni akina nani, walikaa lini na hukumu ilitolewa lini na hasa mambo gani yaliyokuwa yanabishaniwa na yaliyotolewa maamuzi.

La sivyo, hapa patakuwa sasa ni kijiwe kama vile FB.

Mkuu, naomba nitoe mtazamo wangu. Japo niko mbali na eneo la tukio naweza kuiamini habari na si vema kulinganisha na ishu ya Lema kwa sababu zifuatazo;

1. Kwa wataalam wa habari watakubaliana na mimi kuwa kuna habari huwa inapewa coverage kubwa sana kuliko nyingine kwa sababu ya aina ya wahusika, jinsi tukio lilivyotokea na impact yake kwa wananchi au jamii ka ujumla. Kesi ya Lema (Arusha) ina uzito kuliko kesi ya Sumbawanga ukitumia hivyo vigezo nilivyotaja.

2. Arusha ni strategic constituency kuliko SUmbawanga. Ndiyo maana CCM wako tayari wapoteze Sumbawanga lakini wapate Arusha kwa gharama yoyote, kama walivyofanya Mwanza hivi majuzi. Kwa hiyo macho na masikio ya kila mtu ni Arusha,

Kwa mantiki hiyo, si ajabu Sumbawanga kukawa na rufaa na hukumu ikatolewa lakini watu wakawa hawana attention nayo kuliko ya Arusha.
Ni mtazamo wangu tuu.
 
Back
Top Bottom