Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?
Hatimaye anguko rasimi la Chadema katika Jiji la Arusha limetimilika leo baada ya kushindwa kuunganisha umma katika Propaganda za kishamba na kienyeji za kufanya mikesha za ukombozi. Hali ilivyo sasa katika jiji hili la kitalii mi shwari kabisa na Mikesha iliyotangazwa na wana CDM itafanyika katika kituo cha polisi wanachoshikiliwa Slaa na Lisu wakati Mbowe atakuwa akifanya mkesha wake jimboni kwake alipokimbilia kujificha kwa kuogopa kukamatwa na wanausalama.Ndoto za Viongozi wa Chadema kuungwa mkono na umma zimeyeyuka kabisa katika jiji la arusha kwani viongozi hao bado wanasota lupanga na hakuna hata umma unaoandamana kuwaunga Mkono. No more chadema at A.Town. na Je Slaa na Lisu watamuunga Mkono Lema ama wataomba wapatiwe dhamana by Chadema mmeanguka kwa kujiatakia kwa kuponzwa na fikra finyu na mgando za kuamini katika nguvu ya umma katika taifa la wananchi waoga kwa mbinu hiyo jaribuni tena baada ya miaka 100 ya uhuru.
Kwekwekweeee! Watz wengi hawapendi vurugu...!.bla, bla, bla...siku zote police wa ccm ndio mabingwa wa kuanzisha vurugu! Kwani wale waliokusanyika pale NMC jana walikuwa wanafanya vurugu???Wakati mwingine maamuzi ya busara ni muhim na sio people power tu! Watanzania wataanza kupunguza iman kama wataendelea kutumia nguvu ya uma kwan wa tz wengi hawapendi vurugu..
hivi tanzania upinzani ni CDM pekee?? Haijawahi kutokea chama cha siasa kinachoihenyesha sisiemu kama chadema, PEOPLES POWER, ALUTA CONTINUA.!
Ground Zero kweli mgonjwa unahitaji tiba, Arusha hata iweje CCM hawana chao elewa hivyo!!!!!!!!Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?
Ground zero.
Akili zero.
Tupa kule.
Ground zero.
Akili zero.
Tupa kule.
Wanasubiri mwenyekiti wako wa chama atoe tamko manake yuko kimya mpaka sasa. Au amesaini jana? Tupe habari mzee!Jana hawakuzungumzia swala la ushoga na mabosi wao.
Akili zako zinakutosha mwenyewe wewe.Chadema ni chama cha msimu, msimu wake unakaribia kuisha.
Wacha woga ukombozi hauji kwa amani lazima labsha zitokee upate ukombozi!!!!!!!!!!Wakati mwingine maamuzi ya busara ni muhim na sio people power tu! Watanzania wataanza kupunguza iman kama wataendelea kutumia nguvu ya uma kwan wa tz wengi hawapendi vurugu..