CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

Hatimaye anguko rasimi la Chadema katika Jiji la Arusha limetimilika leo baada ya kushindwa kuunganisha umma katika Propaganda za kishamba na kienyeji za kufanya mikesha za ukombozi. Hali ilivyo sasa katika jiji hili la kitalii mi shwari kabisa na Mikesha iliyotangazwa na wana CDM itafanyika katika kituo cha polisi wanachoshikiliwa Slaa na Lisu wakati Mbowe atakuwa akifanya mkesha wake jimboni kwake alipokimbilia kujificha kwa kuogopa kukamatwa na wanausalama.Ndoto za Viongozi wa Chadema kuungwa mkono na umma zimeyeyuka kabisa katika jiji la arusha kwani viongozi hao bado wanasota lupanga na hakuna hata umma unaoandamana kuwaunga Mkono. No more chadema at A.Town. na Je Slaa na Lisu watamuunga Mkono Lema ama wataomba wapatiwe dhamana by Chadema mmeanguka kwa kujiatakia kwa kuponzwa na fikra finyu na mgando za kuamini katika nguvu ya umma katika taifa la wananchi waoga kwa mbinu hiyo jaribuni tena baada ya miaka 100 ya uhuru.

...natamani ningekuelewa. Kumbe cdm ni Mbowe Lisu na Slaa!
 
chadema si watanzania wamesha wastukia, watu wa fujo.

wewe ndo c mtanzania kwanza wewe tulisha kushitukia ni moja ya wale wahamiaji kutoka somali land, na ulikuja bongo kwa mgongo wa edward lowasa.

Kwani wakina mandela walipo kuwa wana fight hawakuwa raia wa south africa? Acheni ukameroon hapa
 
Exchange rate Tzs.1890/$. Huo ndo mwisho wa CDM???

tembea uone hii ndio shida ya kukaa sehemu moja, dora inapanda kwa kila nchi nenda zambia iko juu nenda botswana imepanda nenda south africa imepanda, wacha ujinga wako
 
Ni kweli kabisa. Tuna masikitiko kabisa kuona chama tulichokuwa tunakitegemea kuwa kinge-balance siasa za tz kinafanya mambo ya kujimaliza chenyewe. Inasikitisha.
 
siasa za fujo ni siasa zilizopitwa na wakati nawashauri waangalie vyama vilivyokuwa vinafanya siasa za namna hiyo matokeo yake vyama hivyo vimebadili mbinu, Cuf walikuwa mabingwa wa siasa za vurugu na maandamano yasiyo koma lakini wapo wapi leo? wameamua kubadili mbinu, ilikuwa ni vurugu tupu DAR ilikuwa haipiti mwezi maandamano mwishowe wanainchi walikuwa hawafanyi shughuli zao na mwishowe mwanainchi waliwachukia, ndivyo itakavyokuwa kwa wakazi wa Arusha leo wameanza kukichukia chama hiki na wanajuta kukipigia kura chama hicho.
sijuuti, najivunia kuwa mwanademokrasia, najifunza ujasiri, uzalendo na kuwafikiria wengine.! VIVA CHADEMA, TUTASHINDA.!
 
Mnao ombea dr slaa na tundu lisu wapelekwe gerezan .Kwa taarifa washa achiwa kwa kufikishwa mahakaman mida hii sasa cjui nimahakama ya nan inafanya kazi kuanzia saa 11 jion
 
Wakati mwingine maamuzi ya busara ni muhim na sio people power tu! Watanzania wataanza kupunguza iman kama wataendelea kutumia nguvu ya uma kwan wa tz wengi hawapendi vurugu..

Ni kweli ila watakaopunguza imani yao kwa chadema ni wale wasio na imani nayo kwa sababu wana kazi nzuri, wanaiba mali za umma, wanakula na kusaza, wanalindwa na dola wasifikishwe mahakamani kwa uhalifu wao.

Ila kwa watanzania ambao 99% wanaujua fika uozo na upuuzi unaofanywa na CCM kupitia vyombo vya dola, wanapata mlo mmoja, hawajui watoto wao wataishi vipi huko mbeleni, kila wanapotaka kupigania haki zao wanatishwa na polisi, hawana wa kumlilia pale ugumu wa maisha unapoongezeka, kila uchaguzi wanadanganywa watafanyiwa mambo ya kuwakomboa na muhula unaisha. Hawa sasa ndiyo CDM wenyewe, kuwafanya waondoe imani yao kwa CDM ni kuyageuza hayo yote yanayowasibu kuwa positive. Otherwise kila dola inapotumia nguvu kwa amri ya CCM ni wazi kuwa hawaimalizi CDM bali wanaimaliza CCM inayowatuma.

Tena watu ambao ni neutral observers wanatufanya tu-sympathise zaidi na CDM. Kwani kwenye ukweli uwongo hujitenga. CCM wakubali kuwa ushawishi wao kwa watu wa Arusha umeshuka kwa kasi sana na njia pekee ya kuurudisha si kuwa-harass bali ni kuwa enlish na kuwafanya siyo tu wajisikie huru kufuata yale wanayoamini bali wawe huru kufanya hivyo.

Strategically, CCM ilitakiwa kumuacha Lema afanye kazi yake kwa amani, halafu 2015 waje na swali kwa wana Arusha " Are you better off now than you were 5 years ago?". Ila huu upuuzi wanaoufanya unawapa CDM nafasi ya kuonesha wazi kuwa walikuwa obstracted na CCM kwa kubambikiwa kesi na watanzania watawaamini kwani wanaona kinachoendelea sasa.
 
huuu sio mwisho wa chadema ni mwanzo na mwendelezo,Arusha tumechoka uonevu wa Chama cha magamba na Askari wao,mm nadhani huu ni mwisho wa serikali ya CCm viongozi wao kuwaita wapiga kura PANYA.Peoplesssssssssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom