CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

Nilimsikia Mhe Mbowe akiongea asubuhi BBC kwa mbwembwe kuwa wanaweka historia kwa kuweka mkesha wa kwanza wa ukombozi.
What the nonsense!

Wamewatesa watu pale na mvua, baridi, njaa nk. Asubuhi alfajiri....kifungua kinywa kikawa ni mabomu ya machozi.

Wana Arusha, machalii, mtatumika kijinga mpaka lini???
 
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?
Kwetu kuna msemo kwamba unapomuombea kifo mama wa kambo badala yake, ufa mama yako.
Chadema ni chama mbadala ya ccmagamba. Ndiye mkombozi na chama pendwa kwa sasa Tanzania.
Ondoa maombi ambayo hayatapata majibu kamwe.
Adha kwa wananchi zimesababishwa na ccmagamba, na si Arusha tu bali na mikoa mingine tuna adha nyingi tu.
Hatuna sukari, mafuta, umeme.....ongeza na orodha yako wewe mwenyewe, kisha usirudie kuandika hapa JF ukiwa umelewa bangi unasikia?
 
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?

simulizi za abunuwasi kama hizi ulitakiwa usubiri usiku ukiwa na mumeo kitandani ndo uanze kumsimulia.

hapa ajua!!
 
nilimsikia mhe mbowe akiongea asubuhi bbc kwa mbwembwe kuwa wanaweka historia kwa kuweka mkesha wa kwanza wa ukombozi.
What the nonsense!

Wamewatesa watu pale na mvua, baridi, njaa nk. Asubuhi alfajiri....kifungua kinywa kikawa ni mabomu ya machozi.

Wana arusha, machalii, mtatumika kijinga mpaka lini???

wewe kazi yako c kushikishwa ukuta? Kule south afric a wale watoto wa spweto walipo uwawa hakuna aliye watuma ila ilikuwa ni kwa ajili ya nchi yao.
Hata tukipigwa mabomu na hata tukiuwawa hakuna shida ila the day is coming, hata urusi mpaka dakika za mwisho ilikuwa inaamini haiweza sambaratika,

so ccm mpake leo na kesho hawawezi amni kwamba watasambratika but ni mpka pale watakapokuwa nje ya systeam ndo wataamni.

Hata na mimi ningekuwa ccm nisingeweza amini hata day moja kwamba ccm itafikia mwisho
 
Umeanza kuwashwa kabla mkataba haujasainiwa?

Unaonekana unapenda sena mambo ya Cameron. Nimeona post zako zote zinalenga kutajataja hako kamchezo. kastaffuullullah!!! Nakushauri uachane na huo mchezo, hata kama umeuzoea, ni sumu kwa jamii ya wa Tz. Fikiria mambo mengine (mbadala) utashangaa michango yako humu itakuwa +ve. Tunazidi kukuombea, u-cameron ushindwe!.
 
tembea uone hii ndio shida ya kukaa sehemu moja, dora inapanda kwa kila nchi nenda zambia iko juu nenda botswana imepanda nenda south africa imepanda, wacha ujinga wako
Dora ndio nn ww mwenzetu uliyetembea na usiye mjinga?
 
Nilimsikia Mhe Mbowe akiongea asubuhi BBC kwa mbwembwe kuwa wanaweka historia kwa kuweka mkesha wa kwanza wa ukombozi.
What the nonsense!

Wamewatesa watu pale na mvua, baridi, njaa nk. Asubuhi alfajiri....kifungua kinywa kikawa ni mabomu ya machozi.

Wana Arusha, machalii, mtatumika kijinga mpaka lini???
Acha woga wa kijinga. Ni dhahiri tungekuwa na watu wa aina yenu hata uhuru tungekuwa bado hatujapata.
 
Hivi lini vijana mtaacha ushabiki wa siasa za vyama hivi ambavyo haviwapi maslahi yeyote?

CCM wamekula nchi wamevimbewa, CHADEMA siyo wakombozi wa kweli wa taifa hili pindi watakapopata watakua ni zamu yao kula nchi.

.Demokrasia katika nchi maskini yenye ujinga ni mchezo wa wajanja wachache wenye upeo huu au ule, walio nje wanapigana kuwatoa walio ndani ili wapate nafasi ya kumiliki nguvu za dola na faida zake kuzibinafsisha huku nyie mkitumiwa tu.

baada ya kupata madaraka vijana hutemwa na ukamanda huu upambanaji utupya nje kwa sababu hauna tija tena ukiwa mtawala, harakati ni pale ukiwa nje ya utawala kwa sababu ya kuona mabaya mengi na kutokuwepo kwako kwenye serikali.

Mimi ni mwanaharakati siyo shabiki wa kisiasa wa chama chochote, kuna mazuri na mabaya katika vyama vyote, na ubaya wa CCM ni obvious kwa sababu wametawala nchi na wameonekana walichofanya/walichoshindwa kufanya tatizo linakuja kwa vijana kujipa matumaini ya hali juu sana juu ya uwezo wa CHADEMA kuleta mabadiliko ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa hapa nina matatizo napo kwani hili halipo0angalieni nchi karibu zote za kiafrica wapinzani wamefanya nini baada ya kushinda na sisi siyo tofauti na hao)
kuweni na matumaini ya kawaida ya kupunguza hizi kero za CCM na siyo kushabikia kitu mpaka mnakua paranoid mkisia tu mtu anaisema CHADEMA.
 
Magwanda wanatafuta huruma za wana Arusha kabla ya uchaguzi wa madiwani, wajue hapo "wankula huu".
 
Nilimsikia Mhe Mbowe akiongea asubuhi BBC kwa mbwembwe kuwa wanaweka historia kwa kuweka mkesha wa kwanza wa ukombozi.
What the nonsense!

Wamewatesa watu pale na mvua, baridi, njaa nk. Asubuhi alfajiri....kifungua kinywa kikawa ni mabomu ya machozi.

Wana Arusha, machalii, mtatumika kijinga mpaka lini???
jiulize pia taifa litaacha lini kutumikia mafisadi? Maana ndo chanzo cha yote, umaarufu wa cdm umejengwa kwny makosa ya ccm!
 
siasa za fujo ni siasa zilizopitwa na wakati nawashauri waangalie vyama vilivyokuwa vinafanya siasa za namna hiyo matokeo yake vyama hivyo vimebadili mbinu, Cuf walikuwa mabingwa wa siasa za vurugu na maandamano yasiyo koma lakini wapo wapi leo? wameamua kubadili mbinu, ilikuwa ni vurugu tupu DAR ilikuwa haipiti mwezi maandamano mwishowe wanainchi walikuwa hawafanyi shughuli zao na mwishowe mwanainchi waliwachukia, ndivyo itakavyokuwa kwa wakazi wa Arusha leo wameanza kukichukia chama hiki na wanajuta kukipigia kura chama hicho.

mtu aliyeshindwa kupageuza kwao Bagamoyo kuwa Dubai aje apageuze kwa wakimbizi Kigoma kuwa Dubai. hizi ndiyo ahadi hewa na ndoto za linacha kwelikweli.
 
Magwanda wanatafuta huruma za wana Arusha kabla ya uchaguzi wa madiwani, wajue hapo "wankula huu".
Faiza, how much are you paid for this work, sijawahi ona hata siku moja ukichangia chochote chenye mwelekeo ni CHADEMA agains CCM, wewe kati ya virusi humu ndani and we want you out of this system, mnatuharibia. JF imebaki kuwa kituko siku hizi badala ya kujadili mambo ya maana
 
Ina maana we kiziwi na kipofu, husikii na wala huoni (hata picha)....kama wanaArusha walisema 'no no no' kukaa kwenye viwanja vya NMC na mvua ile, mlienda kuwatimua wa nini na kina nani alfajiri yote ile?!

Whaaaaat?! i don' understand at all....tell me something chuck: ina maana jamaa walikuwa pale viwanja vya NMC?! so wht happened buddy? kwahiyo baada ya mamwera kutimba pale site, magwanda wakala kona?! come' on; am very disappointed!!!! THis means tht, NMC is not and will never be de same as Tahri Square simply becasue, i gues; machalii wa A-Town hawapo nondo kivile, sema mbwembwe tu za mabrazamen wa JF wanaotaka kutushawishi kwamba machalii wa A-Town wapo nondo c kidogo!!!! dah, am very disappointed.....wanashindwa na askari wa serikali legelege!!!! PEOPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS, PWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!
PEOPLEEEEEEES, PWAAA PWAA PWAA PWAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!
 
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?

Mjomba huo ndio mwanzo wa mwisho wa CCM. Tumia Ubongo wako.
 
Back
Top Bottom