marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Huu ndo mwezi wenu wa mwisho kurusharusha miguu,baada ya 25/10 tunawamalizia,ukawa ni jiwe lisiloyumba
Chadema asili? Chadema pesa?
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.
Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.
Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.
Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.
Hata hivyo chadema asilia tulishatoa tamko letu baada ya kuona sintofahamu aliyotendewa kamanda wetu Dr Slaa na wengine wagombea ambao walishinda kwenye kura za maoni lakini wakakatwa wakaingizwa mamluki kutoka ccm. Angalia majimboni hali ilivyo ukawa kwa ukawa wanapambana zaidi ya majimbo 50. ?
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..
hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!
Yani huyu ubora na mafundisho pamoja na mleta uzi huu ni miongoni mwa wale mambumbumbu waliotajwa na twaweza kuwa ndo wanaishabikia ccm tunapo bishana nao hatujitendei haki tunyamaze maana hii ni misukule ya lumumba
Chadema kwisha
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.
Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.
Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.
Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.
Wewe sio mzima kabisa yaani bado tu unaamini Lowasa anaingia Ikulu?
yan ccm inashinda vizuri tu..tatizo la vijana tunaathiriwa sana na ushabiki bila kuangalia na kutasmin mambo kiundan..tusiwe bendera vijana tanzania n nchi inayo endelea n maendeleo yapo..vijana tunadanganywa eti tutapewa ajira bila kujiongeza mwenyew utaendelea kulia kila siku..kama tunataka kweli Manado limp inabidi tubadilike ss tuache uvivu wa kufanya kaz..magufuli anasema ukwel..Tumchague..