CHADEMA yameguka vipande viwili

kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono dr slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

lowassa anatisha!dozi yake imewatosha.
 
ccm imevunjika vipande vipande zaidi ya mara mbili
 
Kama CDM imegawanyika basi hiyo ni sherehe kwa CCM.Kwa hiyo shangilieni ushindi unakuja.
Mimi iwe mchana iwe usiku Kura Yangu ni kwa LOWASA na UKAWA.CCM bado ni ileile haijabadilika katika kuwatesa WaTZ, siwezi kuichagua ng'o.
 
Bahati mbaya mipango yenu huwa inajulikana mapema.

Niakubaliana na utafiti wa twaweza kwmba ccm inaungwa na wajinga.

Mngelikuwa si wajinga, mngekuwa mnasoma na kuelewa pale mipango yenu inapokuwa imewekwa hadharani kabla hamjaitekeleza juu ya kuhujumu upinzania.

Sioni ajabu mnapokuja na propaganda as if ni kitu kipya!.

Ccm Bye Bye!

Lahasha wewe unayeunga mkono wezi wakati hupendi wizi na umeletewa mtu msafi na CCM bado hujaelewa ndo tukuiteje?
 
haa haa umenikumbusha vipande vya ccm. ccm maslai ikiongozwa na nape na ccm imani ikiongozwa na kingunge wakati ule...
 
Bahati mbaya mipango yenu huwa inajulikana mapema.

Niakubaliana na utafiti wa twaweza kwmba ccm inaungwa na wajinga.

Mngelikuwa si wajinga, mngekuwa mnasoma na kuelewa pale mipango yenu inapokuwa imewekwa hadharani kabla hamjaitekeleza juu ya kuhujumu upinzania.

Sioni ajabu mnapokuja na propaganda as if ni kitu kipya!.

Ccm Bye Bye!

Kiongozi!

Hapa umeua. Maana umepiga za kichwa kabisa.
 
Hivi nyie mnaobisha hivi mnadhani wafuasi wa Dr. Slaa wamefurahishwaa na yanayoendelea na kwamba roho zao Hazina nyama? Binadamu hukuzwa na matukio ya historia. Mwaka huu ni mwaka wa kukuza vijana siyo kimwili bali kiakili na kiroho ili wakomae katika kuchambua mambo kwa mtazamo mpya kabisa. 25 Oktoba watagraduate wengi humu.

wafuasi wa Dr wameangushwa na Dr Slaa mwenyewe, amebaki MM pekee ngoja nae akose mgao uone
 
Chadimu walisha kosea toka mwanzo sasa watavuna walichopanda October 25/10 chaliiiii +na kuvunjika
 
hata kama likigawanyika mara7, bado kura ni kwa LOwasa...na wabunge wa ukawa..

hizo nyingine ni propaganda za LUMUMBA... au masaki IT team!!
Haya majibu ndio yanazidi kuwapa hasira wapiga kura hivi mnajua? Mnazidi kuharibu kwa majibu haya. Wengine wameshaamua kwa hasira watapigia Magufuli ili kukomesha haya maneno ya kejeli. Wewe kura yako si moja, subiri uone sunami ya kura kwenda kwa Magufuli. Na mimi nawa support after all kamanda wangu Dr Slaa hagombei chohote
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

Hata hivyo chadema asilia tulishatoa tamko letu baada ya kuona sintofahamu aliyotendewa kamanda wetu Dr Slaa na wengine wagombea ambao walishinda kwenye kura za maoni lakini wakakatwa wakaingizwa mamluki kutoka ccm. Angalia majimboni hali ilivyo ukawa kwa ukawa wanapambana zaidi ya majimbo 50. ?
 
Back
Top Bottom