CHADEMA yameguka vipande viwili

Waliosema chadema itakufa kabla mwaka huu haujaisha naanza kuwaamini sasa. Sipati picha mara baada ya uchaguzi chadema itakuwaje. Kwa sababu its obvious hatutashinda. Hilo tusahau. Tumeshagawa kura vibaya.
Chadema asilia na chadema pesa
Wafuasi wa Mbowe na Dr Slaa
Waliokatwa kura za maoni majimboni vs waliochomekwa
Majimbo zaidi ya 50 yenye mtafaruku wa aidha chadema na cuf na nccr. Hapa nani ni nani?
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

Tumejipanga mwaka huu wataisoma
 
Kupost Uzushi Kama Changudoa Ni Aibu.Tafuta Kingine Halali Cha Kukupatia Kipato
 
Josorobert CDM ikimeguka si raha kwako??
Mtakuja na hila na janja mingi lakini mmeshikwa pabaya, hamchomoi, kila mbinu imekwama!!
Nyie jidanganyeni Lowasa ndilo jibu!!
 
Last edited by a moderator:
ulitakiwa ufurahi kupasuka kwa cdm;nashangaa unahangaika sana kwa kuongea usichokijua uwe na rational judgement.
 
Wamegawanyika hasa, wanompenda Dr Slaa wapo na wataonyesha hasira zao tarehe 25 October. Njia nyeupeeeeee kwa Magufuli, 4U Movement wataisoma namba na kizee chao. #HapaKaziTu
 
Iliyomeguka ni CCM, Lowasa, Sumaye, Kingunge and son wameondoka. MABADILIKO Lowasa ni lazima. Mwaka huu CCM mmeshikwa pabaya
 
Chadema ni imara nyie ccm ninueni watu tutakula fedha 25 oct Lowassa Magogoni akiwa Na Madame Regina
 
Hapa naiongelea Arusha mjini!ya Monduli yalirushwa vizuri sana na MwanaDiwani

Slogan ya Chadema asilia ni kuichukua majimbo ya Hai,Arumeru Mashariki,Arusha, Kawe, Kibamba, Musoma Mjini,Nyamagana,..... hiyo ni barabara nyoofu.Sasa hivi chadema inahaha kumtafuta mchawi japo wameshachelewa. Itachukua muda mrefu chadema kurudia hali yake ya kawaida,kwa sasa wapishe chama cha ACT kuwa chama kikuu cha Upinzani.
 
Hivi kunahaja gani ya kujidanganya kwa hoja za uongo au kusomba watu kwenye mkutano wako kuja kuangalia mziki kwa ghatama kubwa nini faida yake
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa.

Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo.

Kundi la pesa linaonekana kuwa na sauti kubwa wakati wa maamuzi ndani ya chama lakini kundi la asilia wao ndio wapiga kura wengi na muda mwingi kundi hili wapo kimya, wanafanya harakati za kimyakimya, wadadishi wa mambo wanadai kundi hili ni kubwa na ndilo linalomuunga mkono Dr Slaa kwa asilimia 100%.

Ni kweli katika hatua hiyo chadema kinaenda kupoteza mwelekeo.

Wapiga kura tutawaunganisha 25October wala hilo lisikupe shida.
 
mimi nilikuwa chadema week tatu zilizopita
nmehama
now niko ccm

kule maslahi wametanguliz mbele kuliko kujenga chama

system ya uongoz ya umoja wa wakina mama wa ccm iko stable kuliko ya uongoz wa mbowe
 
Back
Top Bottom