FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,202
Toka lini Pasco kawa mwandishi wa habari hata kama akiwa mwandishi wa habari ndiyo kila kitu umeze bila kutafuna, kuna siku Mwalimu Nyrerere aliwaambia wandishi wa habari wa Kenya hivi 'wakisikia yeye anatembea na mama yao wataandika kuwa yeye ni baba yao'. Pasco amedanganya kwa interests zake na wwe kwa vile uko tunned ukaingia kichwa kichwa bila kufuatilia.
Hayo maneno ya baba na mama ni mtu asiyenazo ndiye anaweza sema hivyo. Siamini kama Rais wa nchi anaweza sema hayo, tuwekee ushahidi.