Mkuu hapa naona tunapotoshana tu kwa sababu nimeshasema vizuri tatizo kubwa la Majimbo halihusiani na kugawana mavuno.. Hata kama unazungumzia mikataba huyo Karamagi atakuwepo huko kwenye mikataba ya Buzwagi kama jimbo la sijui wapikama atajiandikisha mkazi wa pale ama kuna mtu mwenye tamaa sawa na huyu jamaa. Kikubwa ni sheria. kwanza tuondoe UFISADI ambao tayari ni gonjwa linaloonekana.
Kisha baada ya hapo tunaweza kuona serikali hii chini ya Utawala uliopo kuna maosa gani bado pengine ni bora zaidi kutokuwa na operation hii ya kichwa, kwani swala la Zanzibar kama sovereign hujalizungumzia kabisa!