CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.
CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000
Tendwa msemaji wa ccm yupo wapi?aliyedai lema hatakiwi arumeru
Mkapa namuonea huruma masikini, si aache siasa za vyama?
mnawaogopa sana CCM kiasi kwamba hawahitaji hata kuwatisha tena!
Niseeeeme nisiseeeeme!!!!!!!semaaaa!!!!!!!niwalambe nisiwalambeeeeee!!!! pipooooooooz pawaaaaa!!!!!!ahaaa...LOL..I wish that dumb ass lusinde was reading this now.........God bless CHADEMA and its fate in changing TZ........aluta continua CHADEMA.........Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.
Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.
CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000
My Take:
Bila ya shaka Uongozi wa taifa wa CDM hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015!
Kutoka kwa Zitto (FB)
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.
Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.
CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000
My Take:
Bila ya shaka Uongozi wa taifa wa CDM hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015!
Kutoka kwa Zitto (FB)
ni kweli mmshinda mkuu, na hizi ni idadi ya kura mlizopata kati ya kura laki moja na ushee
total votes so far chadema11,485
ccm 6,468
[tr="class: Cms_table"]
[/tr]
sweetlady yamekuwa hayo leo.Hivi bado hujaanza kujimwaga? Kajimwage kwa raha zako ndugu manake kweli tumeshinda!
well.. tangu jana mmeona nikiripoti lolote toka ARumeru? don't doubt it. Kama ulikuwa na mpango wa kwenda kusherehekea you have my permission.