CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000

Mwanakijiji unaweza kufafanua hapa kidogo? Kama CCM wameshinda kata 3 tuu inakuwaje Chadema wameshinda kwa zaidi ya kura 6000 tuu? Au CCM wamepata ushindi wa "kishindo" kwenye hizo kata 3 walizoshinda? Au walikoshinda Chadema margin ya ushindi ilikuwa ndogo sana?
 
Kudadadeki!!!!!!!!!! Big up chadema huu ni mwanzo mzuri inaonesha ni jinsi gani watanzania tulivyoamka, ccm haina budi kuzikwa tena inabidi izikwe kwenye kaburi la futi 15 kama la mchawi!!!!! Big up gogo nassari!!!
 
mnawaogopa sana CCM kiasi kwamba hawahitaji hata kuwatisha tena!

MMM, nimecheka sana!!! Nikakumbuka tulipokuwa watoto tukitishiwa paka usiku. Cha kushangaza ni kuwa mchana unacheza na huyo paka ati ikifika usiku unamwogopa sana. Sasa watu wanajua jinsi ccm walivyo hoi ila ikifika kwenye matokeo hakuna anayeamini kiasi ya kwamba tunawafanya wajue tunasubiri waibe maana ni kawaida yao na kawaida yetu ni kulalamika tu - CCM wezi sana bwana!
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Najisikia Kama 2015 chadema insignia Ikulu, watu sasa wameshajua mbivu na Mbichi ni zipi, mtaji wa ujinga sasa kwisha, tunaombea mungu mwendelee kuleta mapinduzi ya fikra, mambo ya piga makofi sasa basi, unafanya kazi you win otherwise you go! God bless you!, nilipokuwa naandika barua kwa Rais Slaa watunwalikejeli sana, lakin siyo lazima Slaa but Chadema can take the Lead of the country! Uzalendo kwanza!
 
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000

My Take:
Bila ya shaka Uongozi wa taifa wa CDM hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015!

Kutoka kwa Zitto (FB)

zitto-status.jpg
Niseeeeme nisiseeeeme!!!!!!!semaaaa!!!!!!!niwalambe nisiwalambeeeeee!!!! pipooooooooz pawaaaaa!!!!!!ahaaa...LOL..I wish that dumb ass lusinde was reading this now.........God bless CHADEMA and its fate in changing TZ........aluta continua CHADEMA.........
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000

My Take:
Bila ya shaka Uongozi wa taifa wa CDM hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015!

Kutoka kwa Zitto (FB)

zitto-status.jpg

.
Kwa maana leo hii Mungu ameipenda Chadema hata kuidhibu sisiem na genge lake la mafisadi. Nkapa, Lowasa, Mwigulu, Lusinde Maji machafu nkw woooote walikuwepo.
.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
ni kweli mmshinda mkuu, na hizi ni idadi ya kura mlizopata kati ya kura laki moja na ushee

total votes so far chadema11,485
ccm 6,468

[tr="class: Cms_table"]

[/tr]

Wewe nani kakwambia waliopiga kura jana jumla yao ilifika laki moja na ushee... ile ni idadi ya waliojiandikisha sio waliopiga kura kaka. Kuwa makini kidogo.
 
Haleluya! Mwacheni Mungu aitwe Mungu...ccm matusi yenu ya nguoni leo mtajitukanajeeeeeeeeeeee? Chadema kwa nguvu ya Mungu na Watanzania tutashinda na mwisho tutafanikiwa kulikomboa taifa hili. Hahahhaha lusinde na kudadeki yako leo upo wapi? kijana amekosa haya huyuuuuuuuuu nitawashangaa kama watu wa Mtera bado wana imani na huyu mtu aliyekosa heshima kwa Watanzania.
 
Nguvuuuuuuuuuu! Ya Umaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Lakini we sio mkurugenzi wa uchaguzi umetoa wapi mamlaka ya kutangaza matokeo Arumeru
 
Alla za rohhhoo
masshaalaah mwanakijiji sina haja ya kusikiliza redio umenipa ala za rohooo babu kubwa na moyo swafii kumbe ndio maana kuna gari zilitoka gongolamoboto zinawasha taa kama kuna wagonjwa zilipozidi 4 nkwauliza jamaa wapi makao makuu nkasema makao gani tena kumbe ni ile ikulu yetuuu
siitaji kusikia tena nyimbo za redion one
 
ngoja na mie nikalale kwa amani!!! ahah ngoja nipige fegi yangu kwanza kwa raha zangu......
 
Back
Top Bottom