CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Neno!

Ukiwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa inabidi ubalansi na ushabiki wa chama unachokipenda.

Nakubaliana na wewe hapa!
Hata uchambuzi inafika kipindi unakuwa na upande uupendao..i mean uzalendo unamshinda mtu....
Ila hata Rejao kashindwa kuficha hisia zake
 
Kiujumla kwa sasa CCM hawana chao cha msingi ambalo wanaweza fanya waludi nyuma tu CHADEMA sasa tuongoze nchi,vile vile watanzania sasa wamelewa na kutambua ya kua wanapotea kwa chama hiki hivo bas hasira zao zinaoneka kwa sasa yakua wamechoka na sera hambazo hazibadiliki.HONGERA SANA CHADEMA HONGERA WATANZANIA kwan NDULI IDI CCM analud nyuma na majeshi yake.
 
Aliyeambiea apewe ubunge ili apate posho ya kutunza familia na kumpoza kwa msiba sasa sijui BWM atamuweka nyumbani kwake au vipi. Haki na jasho la mtu halipotei. Hakuna MTZ wakudanganywa miaka hii. Viva CDM.
 
Mpaka Tume itangaze ndo ntaamini, ccm ni mizimu wale lolote linaweza kutokea
Mkuu nilikuwa nasikiliza Radio Sunrise hapa arusha wanasema ndani ya chumba cha majumuisho yumo Lema na Nassari pamoja na watu wengine ila sijasikia kwa upande.wa CCM kama kuna kiongozi ama mgombea wao; ina maana wameona maji yamezidi unga wameondoka.
 
Huu ni mwanzo mzuri sana kwetu CDM. Magamba wajuwe wameiba vya kutosha sasa twaja kurudisha maili zetu mxiiiiiiiiiii
 
Ooh! Poor Rejao! depression? 2 bottle of beer plus piliton will help you at least to sleep! Ooh poor boy Rejao!! Very sorry! it's life you know!
 
Sasa naanza kuamini maana John Heche ame upload post katika mtandao wa fb akidai chadema wameshinda na atatoa idadi ya kura muda si mrefu.
 
TUNAMWOMBA KAMANDA KIBOKO NYERERE awaweke Mkapa, Wassira na Magamba mengine ktk mstari mmoja tayari kwa kukukubali kiboko ya Maji-taka...! Mkapa ajue kuwa 'damu ya Nyerere' aliyoidhalilisha kwa rushwa ya Ikulu na Wizi ktk RADA na Kiwira vitaendelea kumtafuna, na CDM ikiingia madarakani...mafile yote ya viongozi hawa na mafisadi wengine waliojaa ndani ya chama hiki cha magamba...hawatapata pa kutorokea, watakamatika tu!
 
Imebaki mkoa wa pemba,lindi na mtwara,tanga,morogoro kuwaelimisha wajue kuwa ccm ni gonjwa la kansa ktk maisha yao!
 
Back
Top Bottom