CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

Unajua mojawapo ya vitu ambavyo inabidi tusaidie kuhakikisha vinafanyika ni kwa watu wetu kufunguliwa kuwa CCM siyo mama yao kiasi kwamba hata wazo la CCM kushindwa linawauma! Sasa inafika mahali hata watu hawataki kufikiri tena. Sasa sisi wengine hatuheshimu hiyo Tume ya Uchaguzi kwani rekodi yake ni mbaya;tungekuwa na tume nzuri ya uchaguzi wala kusingekuwa na haja ya watu kukaaa kulinda kura au kuwa na wasiwasi wa uchakachuaji. It is just silly. CHADEMA wameshinda kwa sababu kinachosubiriwa siyo kuhesabu kura tena; kura zimeshahesabiwa vituoni. Kinachosubiriwa ni jumla ya mwisho tu (final tally). Hii ina maana mtu mwenye resources ya kupata hesabu za vituo vyote namba alizonazo LAZIMA zilingane na zile zitakazojumlishwa mwisho. Sasa kwanini iwe ngumuk kujua mshindi?
 
wapi kibajaji mzeee wa matusi
Tunamtafuta alisema wenye mimba wanajifungu
NImeishanunua pempers ya mtoto.
PEEEEEOEEEEEEEEEEEPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO POOOOOOOOOOWWWWWWEEEEEEEEEEEERRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
Asante Mkuu. Ingawa umejitahidi sana kuikwepa Arumeru na kuibua mambo yaliyotutofa katika focus: Mara Nautaka Urais, mara Sitagombea Uongozi nk

Next time soma alama za nyakati ujue useme nini na wakati gani.
 
Mkuu nilikuwa nasikiliza Radio Sunrise hapa arusha wanasema ndani ya chumba cha majumuisho yumo Lema na Nassari pamoja na watu wengine ila sijasikia kwa upande.wa CCM kama kuna kiongozi ama mgombea wao; ina maana wameona maji yamezidi unga wameondoka.
Hawa jamaa walibeba sanduku la kura wakapotea nalo kwa nguvu then wakatandika bastola hewani kwa waliokuwa wanawafukuza ili wasiendelee mara walipoingia kwenye kambi yao.....
Watakuwa wanapanga mikakati
 
hii ndiyo safari ya mwisho wa kisiasa kwa bwana Ngoyai EL

Nadhani haikuwa sahihi sana kwa Mh Ngoyai L Edward kujiingiza kwenye kampeni za Arumeru, maana si tu hangefanikiwa kumfanya mgombea wake kushinda, bali anajichafua na mbio zake za kuwania Urais 2015. maana sasa Taa ya Arumeru kwa CCM na Lowasa imezima..., ingelikuwa sahihi na salama kwa Lowasa kukaa mbali na ubunge wa Arumeru mashariki. kama anaipenda ikuru kwa kiasi chake... hii ni dalili mbaya kwake...!
 
Eeepfhuu!! ilikua ni siku ndef na jakamoyo lilikua juu Meku 2nawaambia wa Tz wote kijana anatufaa na hao ccm walitaka tumfute machozi huyo sioi. Wamfute wao.
 
[h=6]Zitto Kabwe
[/h][h=6]Moja ya Usiku Mzuri sana kwenye Historia ya chama chetu. Tumeshinda Madiwani mikoa yote nyeti na zaidi tumeshinda Ubunge Arumeru. Hakuna raha kwenye siasa kama kuongeza Mbunge katikati ya kipindi cha Bunge. Twamshukuru mola. Hongera viongozi wenzangu na wanachama wetu na watanzania kwa ujumla kwa kutupa nguvu. Its a 'snow ball effect' ! Watch our steps[/h]

Peopleees powerrrr....
Hongereni sana wakazi wa arumeru mash . Pokeen pongezi zangu tokea hapa harare
 
Hv ni kweli siamini!!!c Peopleeeeeessssssss.........................bravo Chadema!!!!!!
 
Zitto Kabwe


Moja ya Usiku Mzuri sana kwenye Historia ya chama chetu. Tumeshinda Madiwani mikoa yote nyeti na zaidi tumeshinda Ubunge Arumeru. Hakuna raha kwenye siasa kama kuongeza Mbunge katikati ya kipindi cha Bunge. Twamshukuru mola. Hongera viongozi wenzangu na wanachama wetu na watanzania kwa ujumla kwa kutupa nguvu. Its a 'snow ball effect' ! Watch our steps

Shukrani sana Mwanagandila,Umenikumbusha wakongwe kina Tagala na Mwananh'ome.
Peoplesssssssssssssss
 
:rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::rockon::yo::yo::yo::yo::yo::yo::yo: Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh CHADEMA! ALUTA CONTINUA!
 
ukiona hivyo, ukomavu unahusu.
Angalia wachambuzi wa siasa wa nje utaona tofauti iliyopo.

Sie hata mpirani, askari wanashangilia, same same.

Hata uchambuzi inafika kipindi unakuwa na upande uupendao..i mean uzalendo unamshinda mtu....
Ila hata Rejao kashindwa kuficha hisia zake
 
Kiujumla kwa sasa CCM hawana chao cha msingi ambalo wanaweza fanya waludi nyuma tu CHADEMA sasa tuongoze nchi,vile vile watanzania sasa wamelewa na kutambua ya kua wanapotea kwa chama hiki hivo bas hasira zao zinaoneka kwa sasa yakua wamechoka na sera hambazo hazibadiliki.HONGERA SANA CHADEMA HONGERA WATANZANIA kwan NDULI IDI CCM analud nyuma na majeshi yake.

Safi sana Home Box Office aka HBO
 
Mkuu nilikuwa nasikiliza Radio Sunrise hapa arusha wanasema ndani ya chumba cha majumuisho yumo Lema na Nassari pamoja na watu wengine ila sijasikia kwa upande.wa CCM kama kuna kiongozi ama mgombea wao; ina maana wameona maji yamezidi unga wameondoka.

Mkuu Siyoi amechimba long tym si unajua ngoma ya kitoto haikeshi?ametuma mawakala
 
weeeeeweeeeeeeee?! Nilikuwa nimelala kidogo...,baada ya kumwachia kamanda mwenzangu zamu...ila sahiv niko baa moja jirani na bahari ya hindi....Makamanda wenzangu mpooooooooooooooo....ndio 2015 Mungu wetu,baba yetu tupe uzima tufike salama...tupate uhuru kamili jamaaan!!
Aksante Mungu kufanya njia tena kwa cdm!
 
Back
Top Bottom