1. Operesheni Sangara.
2. M4C.
3. Chadema ni Msingi.
4. Pamoja Daima.
Zote zimefeli....
Maisha bora kwa kila mtanzania!
1. Operesheni Sangara.
2. M4C.
3. Chadema ni Msingi.
4. Pamoja Daima.
Zote zimefeli....
Hizi operation ziko ngapi? Mbona watu hawana ofisi hata bendear, mnajikopesha na kujipa mihela ya ruzuku mkiona wenzenu hasa walio humu ndani mazuzu
Kanda ya mahakamaKamanda Zitto amepangwa kanda gani.
Nakuaminia kamanda wa anga hasa maneno ya mwisho isipopatikana
1. Operesheni Sangara.
2. M4C.
3. Chadema ni Msingi.
4. Pamoja Daima.
Zote zimefeli....
Hizi operation ziko ngapi? Mbona watu hawana ofisi hata bendear, mnajikopesha na kujipa mihela ya ruzuku mkiona wenzenu hasa walio humu ndani mazuzu
M/Kiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Freeman Mbowe ametangaza kuanza kwa Operesheni Pamoja Daima yenye lengo la Kuwaandaa Wananchi kushiriki kikamilifu kwenye Mchakato wa Katiba ikiwa ni pamoja na kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wakati ukifika.
Mh. Mbowe amyasema wakati akizungumza na Waadishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkao kuu ya CHADEMA leo. Ziara hiyo itaongozwa na timu tatu zitakazoanzia mikoa Mwaza, Ruvuma na Tanga. Mbowe asema pia kuwa ziara hiyo itakuwa ni ya wiki mbili na siku zinaweza kuongezeka kadiri itakavyohitajika.
Pia ameongeza kwa kusema "Katiba Mpya ni lazima na kama haitapatikana kwa utaratibu uliowekwa kwa mapenzi tu ya Rais na Wabunge wachache wa CCM watanzania wataitafuta Katiba Mpya kwa utaratibu mwigine".
Unaliwa masabur..i na mashetaniMuda wa fedha za chama kuliwa na wajanja wachache umefika tena, MBOWE kishajikodishia helikopta , wakati mikoani hata mishahara kwa watendaji wa chama hakuna wanavaa suaruali zimetoboka kwenye makalio.
Maamuzi ya BUSARA SANA!
Nchi hii wengi bado wanahitaji kuamshwa!
Wana macho lakini hawaoni; wana masikio lakini hawasikii!
Wamesoma lakini hawajaelimika hata kidogo!
CCM joto linaanza kuwapanda ghaflaa
hahaaa umenichekesha sana LOL