Dorothy Semu achukua nafasi ya Zitto Kabwe ACT Wazalendo

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho

Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.
 
Ngoja tuone unafiki wa Zitto utakavyofanya kazi. Huyo anaweza kuwa figurehead tu lakini Zitto akaendelea kuingoza kwa mlango wa nyuma. Chama cha kidini kimekubali kuongozwa na mkristo tena amemshinda muislamu nwanaume wakati wapiga kura zaidi ya robo tatu ni wa upande mmoja , kuna mchezo unacchezwa hapo . Siku zitatufunulia tusubiri tu.
 
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho

Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.
Hiki ni kifaa haswa!

View: https://youtu.be/GviVxNkF0Zs?si=odV0QVYmWkZ0Drb9
Hongera zake sana!.
P
 
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho

Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.
Halafu hataki kupigwa picha
 
Hii nafasi alifaa achukue Makamu wa kwanza wa Rais alafu Jussa awe mwenyekiti. Sidhani ana uwezo wa kukipeleka chama level ya juu, she's too soft to handle the tough and unfair politics in Tanzania.
 
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho

Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.
Hivi vyama vya tiss bana usumbifu tu
 
Dorothy Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo akichukua nafasi ya @zittokabwe ambaye amemaliza muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho

Katika uchaguzi huo @SemuDorothy ameshinda kwa kupata kura 534 sawa na asilimia 65.7% ya kura zote, huku mshindani wake Mbarala Maharagande akipata kura 184 sawa na asilimia 34.3%.
Kibarka wa Zitto tu, anaogopa kuweka mtu atakayeshindwa kumdhibiti
 
Back
Top Bottom