CHADEMA Yaanza Operesheni PAMOJA DAIMA: Helkopta tatu Kutumika!

wakati wa kula pesa chama kwa kulipana Posho ndo huu sasa. halafu umesema kuna chopa tatu zinatakiwa ziruke wiki mbili na kuendelea? hebu wale wataalamu wa mahesabu waje hapa watujuze gharama ys kurusha chopa kwa siku tuzidishe mara 14+ tuone kama hazitoshi kweli hata kujenga msingi kwa ajili ya ofisi za chama makao makuu

Ofisi iliyopo inatosha,cdm hatutafuti ufahari kama magamba! nchi maskini wao wanawaza kununua magari na vifaa vya maofsini vya bei mbaya! ukombozi wa pili ni zaidi ya jengo la ofis lenye magorofa kibao.PAMOJA DAIMA!
 
Pamoja sanaaa CDM......Hiki.chama kina mikakati iliyotukuka sana....Tutawaunga mkono kwa asilimia 100%...
 
asante kwa taarifa, amesema atajikopesha milioni ngapi wakati huu ili tujue kabisa gharama halisi, halafu kwa nini kama hela za helikopta zipo kwa nini msinunue hata kiwanja tujenge ofisi ya chama makao makuu?jaribuni jamani tumechoka kupanga kwenye kinyumba kile, mbona hela mnapata!!!?!?

Ukombozi wa pili dhidi ya mkoloni mweusi kwetu ni zaidi ya jengo zuri la kifahari! injili ya ukombozi lazima imfikie kila mtanzania!
 
asante kwa taarifa, amesema atajikopesha milioni ngapi wakati huu ili tujue kabisa gharama halisi, halafu kwa nini kama hela za helikopta zipo kwa nini msinunue hata kiwanja tujenge ofisi ya chama makao makuu?jaribuni jamani tumechoka kupanga kwenye kinyumba kile, mbona hela mnapata!!!?!?

Ofisi za CDM zipo mioyoni mwa wananchi...
 
we jamaa kauzu kishenzi tangu ujiunge 2011 hujalike any comment
Join Date : 18th November 2011
Posts : 237
Rep Power : 461
Likes Received281
Likes Given0
 
Mgonjwa mwingine mpaka majina yote ya oparesheni yataisha tu mwisho wataitisha oparesheni zika chadema.
 
Mmmmmhhhh?!!!
-Mh. mwrnyekiti, tutakuwaje pamoja wakati bado tuna mashaka na wewe?!

-Tutakuwaje pamoja wakati baadhi yetu hatukuamini?!

-Tutakuwaje pamoja wakati mwenzetu ulitudhulumu gazeti la Tanzania Daima na kulifanya lako?!

-Binafsi hatupo pamoja! Na hatuwezi kuwa pamoja kama nitabaki na mashaka haya juu yako!!!
 
Ni matumizi mabaya ya ruzuku, helkopita tumieni, kura ni CCM

Ulitaka watumie ruzuku kununua tshirt,kofia,kanga,kupika pilau na wali wa kugawa mikutanoni,kukodi mafuso ya kusomba watu ktk mikutano? Au nao waanze kulipa buk 7 kama lumumba fc? pambafu nyankundo!!!
 
[QUOT


Pia ameongeza kwa kusema "Katiba Mpya ni lazima na kama haitapatikana kwa utaratibu uliowekwa kwa mapenzi tu ya Rais na Wabunge wachache wa CCM watanzania wataitafuta Katiba Mpya kwa utaratibu mwigine".[/QUOTE]

haya mambo ya utaratibu mwingine ndo hatutaki kuyasikia haya: Hii nchi ni ya kidemokrasia
 
huu ni mtazamo wangu , hizo hela wanazotumia kwanini wasizielekeze kwenye miradi ya maendeleo??? kama kujenga shule na vituo vya huduma za afya??? wanasiasa wanatumia millions of money kwenye propaganda kuliko kwenye maendeleo hii siyo kwa chadema peke yake au kwa tanzania peke yake ni kwa afrika kwa ujumla, tumeona kenya Odinga na Kenyata walivyotumia mapesa mengi kwenye kampeni, hii ni hatari kwa mstakabali wa nchi zetu za Afrika, HUYO MGONJWA ( MTANZANIA) ANAYEFANYIWA OPERESHENI KILA SIKU LINI HIVYO VIDONDA VINAPONA???? MANENO MATUPU HAYAVUNJI MFUPA, UMASIKINI WETU WATANZANIA USIWE MRADI WA WANASIASA,!!!!!!!

Kujenga zahanati na mashule ni kazi ya serikali za mitaa! Ikishirikiana na wananchi, CCM kupitia jumuiya ya wazazi walijenga shule za jumuiya wakishirikiana na wananchi enzi za chama kimoja ingawa nazo zimewashinda kuziendesha na ha
 
naona anaanzia mwanza kujaribu kuwalaghai wanamwanza baada ya kukataliwa mara ya kwanza.
 
Back
Top Bottom