Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!

na nyie mnaotumia misikiti kuhamasishana? Nani mwenye aibu hapo?
 
Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!

Hhahahhha . Na nani ameenda kuomba fedha za neti Marekani? au unabisha?
 
halafu ofisi zenu huwa zinakuwa wazi saa ngapi....? kila nikija mmefunga.....nataka kadi...au zimeisha......?
huwa ha2wapagi wapum¤¤vv km ww preta.nenda kajaribu CCM wanaweza kukuonea huruma..!
Cc ha2htaji mafsad.
By da way CDM WAMEKUFUKUZA?!!
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

nadhani uliandika your wish list halafu ukaenda lala ulipoamka ukaambiwa mkutano ulifanyika basi ukazitoa ktk list bila kujua kilichowezekana ni mkutano kufanyika, ila kuleta impact hakuna kitu.Hembu kapige mswaki na kupata majibaridi halafu .Kamwone mtatiro, au prof pumba, maalim asiye mwalimu halafu uwaulizeswali lilojengwa na title yako.Usipopigwa na kushutumiwa kuwa umeretard na kuwa mwana CDM basi utakuwa hukuliuliza directly.Ni swali embarassing kwa wana CUF.

Mitaani ni kumuuliza mtu aliyepotez akila kitu katk critical mission swali lihusulo alichoshindwa na kuishia pata kipigo cha hasira.
 
Ww **** acha dharau zako za kipuuzi huyo anayesoma majuzuu ndio mmilisi mzuri wa lugha ya kiswahi na lugha nyingine yoyote akijifunza. Kama ww ni mjuzi wa kiswahili, ungeandika RUGHA badala ya LUGHA, behave u fool!
Ukishindana na mjinga utakuwa mjinga mi nawaacha na ujinga wenu we na huyo mtoa mada
 
CUF (mwanamke) wanachekesha sana. Mume wao (CCM) kashindwa kupambana na Chadema wanafikiri wao wataweza?. Kweli kupenda ni hatari.
 
huwa ha2wapagi wapum¤¤vv km ww preta.nenda kajaribu CCM wanaweza kukuonea huruma..!
Cc ha2htaji mafsad.
By da way CDM WAMEKUFUKUZA?!!

eeeeh.....haya bana......ila nilikuwa nahitaji.......kwa jinsi mlivyo na busara....CUF ni chama cha kujiunga....
 
siendi ofisi nyingine....ni hapo hapo.....nyumba iliyokuwa ya Maashallah Kaloleni pale.....au wamehama yarabi.......


nilishawahi nyoa nywele pale siku fulani likuwa na haraka kwenye saluni waiitayo mzalendo sijui kam bado ipo.Ni kama vile kuna mwanachama mfanya biashara likuwa akifanya biashara na kuweka bendera alipotoka ikabaki. LOL.
 
na nyie mnaotumia misikiti kuhamasishana? Nani mwenye aibu hapo?

Yaani mkuu kweli hawa watu wanahangaika,khaa!ila mi nawashauri wakiamua kutumia msikiti na cc tutumie kanisa nan ataumia?as long as c waislam wote akili zao za kushkiwa km wale wengine
 
Back
Top Bottom