Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

Kuzaliwa Mecca sio kuhiji na si kila aneyeishi Vatican ni mkatoliki!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nadhani mkuu haujaelewa nini maaana ya Serikali ya Kitaifa ndio mana unasema kua CUF na CCM wamefunga ndoa hilo jambo ondoa katika fikra zako hebu angalia UK serikali gani inayofanya kazi kule
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr
Kesi zilizoambatanishwa kwenye reference ya upande wa mrufani ni za zamani sana by ALUTE
 
Nadhani mkuu haujaelewa nini maaana ya Serikali ya Kitaifa ndio mana unasema kua CUF na CCM wamefunga ndoa hilo jambo ondoa katika fikra zako hebu angalia UK serikali gani inayofanya kazi kule
Maana ya ndoa ni mmoja jike mwingine dume na walala same bed doing uncouth and dirty games called love making.
 
Arusha kaeni chonjo, uamsho wamekuja kuangalia makanisa watayoanza kuyalipua hivi puNde, hovyo sana hawa boko haram(CUF).
 
Jaman tumieni lugha nzuri.
Pili hata kama waliletwa na magari kumi inaonyesha picha watu wa arusha nao walikuwepo.
Sasa sisis tusijadili kuwepo kwa watu tujadili mambo ya maendeleo. Wanatuletea nini
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Una tofauti na Paulo Gabriela
 
[h=2]Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha[/h]
Hiki kichwa cha habari mbona hakieleweki?.
 
Tumia akili. Mkutano wa CUF mara ya kwanza kwanini uliahirishwa? Mpaka msafirishe watu kutoka DSM? CUF hamna cha kutuambia wanachi nyinyi ni .....ke wa Mgamba full stop.

Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!
 
Mkuu wa nchi ana kimbilia wapi kila hiitwapo leo?
Umezoea kupewa tishert za kijani na mashati bure kwa swala la elimu huwezi kuamini!
Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!
 
Tumia akili. Mkutano wa CUF mara ya kwanza kwanini uliahirishwa? Mpaka msafirishe watu kutoka DSM? CUF hamna cha kutuambia wanachi nyinyi ni .....ke wa Mgamba full stop.
Mleta mada hakuwepo Arusha kwenye mkutano wa CUF, kama alikuwepo basi hajawahi kushuhudia mkutano wa CDM Arusha.
Wanajisumbua kupambana na CDM Arusha, wanajua wako ICU, kule Uzini ambapo wamekuwa wapinzani wakuu wa CCM walijikuta nyuma ya CDM kwenye uchaguzi mdogo, Igunga walijikut
a wanasonga nyuma.
 
cuf propaganda za kitoto ndo huwa zinawapeleka kaburini. jaribuni kueleza ukweli tu. maaana watu wa kipindi hiki sio wa enzi za mwalimu wanajua kila kitu. acheni propaganda za kijinga. chama chenu hakina mvuto. mtaendelea kutumiwa tu na ccm. mpaka mtakapojitambua
 
Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!

Mabwana zenu Cameroon, Bush na kampuni za uchimbaji madini hawajambo, au ndiyo m/kiti kapeleka masaburi yake?
 
Na chuo kikuu je hawana cha kuwaambia. Aibu chama jina kubwa, mambo ya kitoto tu na kukimbilia ujerumani kuomba fedha za uchaguzi.

Aibu kweli, mnatangaza ELIMU BURE kumbe mnategemea fedha toka Ujerumani. Tunataka nchi inayoweza kujiendesha yenyewe, yaani kupunguza tegemezi toka nje.

BAVICHA WAMEKIMBILIA UJERUMANI KUPIGA MAGOTI KWA BI ANGEL MARKEL.

CHADEMA AIBU TUPUUUUU!!!!!

Z'bar CUF wako Serikalini, wamepunguza utegemezi kutoka nje na kwa asilimia ngapi?
 
ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhn!!!!!!!! pumba!!! pumba!! pumba!! pumba!! mpka baaaaaaaaaasi!! unatkiwa kwenda mirembe ww CUF arsha,mnasafirisha wa2 kutoka tanga,pwani na dar aibu iliyoje sasa naanza kuwa na wacwac na huyu anayejiita prof!!,haku2mia akili kabisaaaaa
 
Tumia akili. Mkutano wa CUF mara ya kwanza kwanini uliahirishwa? Mpaka msafirishe watu kutoka DSM? CUF hamna cha kutuambia wanachi nyinyi ni .....ke wa Mgamba full stop.

ww kweli 'mgafilika', ckulaumu..!
 
Kazi ya kichwa si kufuga nywele tu na kufikiria pia....cuf na ccm arusha???sema pengine come on unaijua arusha wewe unaisikia tu?naomba nisitoe neno lolote baya dhidi yako ila nafikiri we si mzima
 
halafu ofisi zenu huwa zinakuwa wazi saa ngapi....? kila nikija mmefunga.....nataka kadi...au zimeisha......?
Halafu mlango wa pili kuna Sangoma, labda akifunga duka lake la ndumba ndio anafungua ofisi ya CUF and vice versa.
Halafu nasikia ilibidi CUF waombe kwa wenye nyumba japo wafungue Jumapili ile ili kuwapokea wenzao maana nyumba ina mgogoro wa kifamilia, si wajua mambo ya nyumba za Kaloleni na pale mjini kuwa nyingi ni za uridhi na migogoro haiishagi?
 
Back
Top Bottom