Chadema ya weweseka uchaguzi ccm na moto wa cuf arusha

Posho ya chakula cha usiku imebaki umeona uje huku kupoteza muda upate usingizi .....wala hakuna shida wala tabu kuelewa cuf wanatumikaje kisiasa ...baada ya kuolea tu wamesha sahau wenzao waliokufa pemba wakati wa nyuma sasa wanatumika kwa nyuma nyuma sioni mantik ya neno hili nanukuu tunaeenda arusha kubomoa ngome ya cdm.
nakutuma sasa kupitia hapa jf mwambie lipumba anazidi kupoteza umaaarufu kama mume wake aaangalie matokeo uchaguzi igunga toka kura 11.000 2010 mpaka 2000 2011kwa muda wa mwaka mmoja ....subiri kama itatokea tena uchaguzi igunga ndo atapima
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Wewe unatumia masaburi kufikiri,aliekutuma nae mjinga kama wewe.

*Ni lini chadema iliwahi kusafirisha wafuasi wake kwa umbali wa zaidi ya kilomita 600 ili wahudhurie mkutanop wake?

*Huo ni mtindo wa CCM 'A' n CCM'B' au unabisha?

*Ule nafikiri ulikuwa mkutano wa ma ustadhi wa kisindikiza arusi ya A na B.

Kama mnajiita vision for change.ni aibu kwa sababu Lipumba amegombea miaka ishirini,sambamba na maalim Seif pia na mara zoote akishindwa..
Je ni vision gani hiyo ambayo ameshushiwa kwa sasa? Au ndio hiyo ya kutukana vijana?. Je CUF ilipokuwa ikifanya maandamano kule zanzibar walikuwa wakiwapa viroba wafuasi wake kwanza?

Sasa kama mnawaona hao vijana wa arusha,ni wanywa viroba je nyinyi mnawatakia nini?
 
Ndoa ina masharti sana ina maana kafu naye analala bila ch****pi ili mume wake gamba afurahi????inachekesha na kuhhuzunisha sana.
 
Jamani jamani! Ccm na cuf wanaweza kuwa tishio kwa chadema kweli?
Ndoto za mchana mbaya sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hahaha
nawashukuru wanachama wa cuf zaidi ya 200 walio jitolea kukodi mabus na kwenda kwenye mkutano Arusha-Mtatiro

Cuf inaiga tabia ya ccmweli ya kukodi na kusafirisha wanachama.
Kulikuwa kuna sababu gani za kukodi mabus kubeba wanacham wakati arusha kuna watu wengi?

Hii ni ishara ya kutojiamini.
 
pumba nyingine bana.............cjui watu wantumia vichwa kufugia nywele tu na sio kufikiri...............
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr
- Hapo kwenye RED mkutano wa kufa mtu ndo nini au unatuletea rugha za kihuni kama akina Lipumba na NEPI?
- Humo kwenye Blue kajifunze tena kusoma elimu ya watu wazima kwani inaonyesha elimu yako ipo chini sana kama kiswahili unashindwa kuandika je english si tutacheka mpaka basi na hii ni sababu ya kusoma majuzuu tu na kusahau masomo na elimu muhimu kwa maisha ya humu duniani.
 
Unazunguka mbuyu,ndo maana unaonekana kama kilaza kwenye post yako.Briefly...ccm + cuf Vs CHADEMA =? Kama unatumia akili vizuri,tutafutie majibu ya aina ya siasa unazoshabikia!
 
- Hapo kwenye RED mkutano wa kufa mtu ndo nini au unatuletea rugha za kihuni kama akina Lipumba na NEPI?
- Humo kwenye Blue kajifunze tena kusoma elimu ya watu wazima kwani inaonyesha elimu yako ipo chini sana kama kiswahili unashindwa kuandika je english si tutacheka mpaka basi na hii ni sababu ya kusoma majuzuu tu na kusahau masomo na elimu muhimu kwa maisha ya humu duniani.

Ww **** acha dharau zako za kipuuzi huyo anayesoma majuzuu ndio mmilisi mzuri wa lugha ya kiswahi na lugha nyingine yoyote akijifunza. Kama ww ni mjuzi wa kiswahili, ungeandika RUGHA badala ya LUGHA, behave u fool!
 
dscf1625.jpg

Kwa mbali ni mabasi ya CUF yaliyotumika kuleta watu kutoka dar es saalam inakadiriwa kuwa takribani mabasi 8 na Noa 2 zilitumika kuleta watu toka dar. kwaajili ya mkutano huo.

dscf1577.jpg

DSCF1537.jpg

Naona picha zinajieleza zenyewe; Watu waletwa toka DAR na Mabasi; Nguo wapewa kama CCM; Wanapokewa na Mapolisi wa CCM sasa hapo SIO RAHA KWA CUF-CCM B ?
Hivi hawa watu mliowatoa dar mmewalipa bei gani?
Yani hata mwenyekiti wenu mnaemwita msomi kakubali kujivua ufahamu???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Watanzania wanapiga kura kama vipofu, halafu wanalalamika kama vichaa! (Generali Ulimwengu 2011)
 
Member wengine cjui wanakuja humu wakati wanalewa pombe!

almasiomary! Pole sana na mawazo yako changa uliyokuja nayo humu! Kawaambie waliokutuma humu jamvini raia wapo macho kinoma!
 
kwanza kawazalilisha wana arusha kuwa wamepewa viroba.
wanaoweza kuhongwa ni zanzibar ambao hawafanyi kazi,arusha ukiingia kila siku bar zimejaa watu wanapiga kazi na maisha.
wewe unafikiri katika msafara uliokuwa mahakamani jana hakuna mzururaji hata mmoja pale kila m2 amejiajiri.
unataka kuwaaminisha watu kuwa lema ni tajiri namba 2 tz baada ya bakhresa kwa arusha kununua viroba kwa ajili ya umati ule unaweza kutumia 10 mil.
lakini karibuni hizbu arusha.
 
haya ww mleta mada,angalia jana lema alipokuwa mahakamani utapata jibu!....ss km mnajiaini ya nn kukodi mabasi?ha ha ha,baadae sana,labda huko lindi na mtwara
 
Hakika sasa Profesa Lipumba Elimu yake ni same level to Profesa Maji marefu wa korogwe a.k.a Steven Ngonyani. Maana elimu yake haimsaidii chochote! Yeye kazi yake ni kutafuta CDM imefanya nini na inaendelea na nini ili apinge kwa nguvu zake zote. Shame on you poor LIPUMBA IBRAHIMU.
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Siku zote tusiangalie umati tu,tuchanganye vyote umati na vote box result,mkikutano ya CUF huwa inajaa lakini result huwa ni big failure,tafsiri ni nini wanohudhuria mikutano sio wapiga kura,Arusha itabakia kuwa ngome ya CDM kwa sababu tuliona matokeo ya vote box ndio wingi wa wakazi wa mji huo wanaohudhuria mikutano.
kilichopo bado Arusha ni ya CDM mabadiliko tutayaona kwenye vote box katika chaguzi zozote iwe madiwani au ubunge.
Hivyo ni vizuri kuacha ushabiki na kutoa conclusion ambazo hazina mashiko wala evidence.
 
Kuna msemo wa kufa kisabuni. Ndo hali inayoikumba chadema. Kwa wakazi wa arusha hapana shaka ni mashuhuda wa mkutano wa kufa mtu wa cuf hapo arusha ambavyo uliwatia aubu wana chadema kwa makombora ya professor lipumba na kejeli za vijana kupewa nkonyagi na bwana lema banada ya kuwatafutia maendeleo. Jumapili liliyopita wasomi udsm walikiponda kama chama kinachoweza kuchukua nchi kwa madai kuwa kimejaa siasa za kitoto, unafiki na na kukumbatia fedha za walipa kodi wa nchi za mabeberu saana chadjumapili iliyopiya wasomi waliipondalakininkikubwa ni chaguzi za nec ambazo zimeingiza majabali katika kila wilaya. Chadema ijiandae safari ya kuwasalimia tlp na nccr

Umelaaniwa wewe si kawaida hii wacha nipite ubakie na aibu yako kama shetani.Takbiiiiiiir
 
Back
Top Bottom