CHADEMA wanaandamana upinga ushindi wa Makongoro

Tumewazomea ccm mpaka makao yao hapa dar sauti ya kikwete mwizi na mahanga mwizi ndo wimbo tunao imba
 
Watu wengi rod wanajua cdm ndo tumeshinda mana tumewafunika ssm
 
Katika nchi hii mhimili unaoonekana kufanya kazi walau kwa kuridhisha kidogo ni BUNGE, hii mingine inaelekea iinafanya kazi kwa maslahi ya watu wachache
 
Mkuu angalieni msije mkaumizwa na mabomu.Fanyeni mkate rufaa.
 
acheni ushabiki nyie, kila kitu maandamano?? mpaka tutayazoea sasa..kama vile hamjaenda shule bwana..jaji kutoa hukumu infavour of chadema ndio kutenda haki?? yaani mnategemea jibu moja tu inregardless ya facts?? sheria haiko hivyo ndugu zanguni, jaribuni kujitambua kwanza mnataka kufanya nini na kwa njia gani..mambo hayako hivyo bwana..
 
pumbaaaaa
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.
 
wekeni picha kama kweli,na mnaandamana kwa kibali cha nani?

huombi kibali kuandamana ila unatoa taarifa ili upewe ulinzi...Waombe kibali kwa kutumia sheriagani wakati Katiba inatamka Notification....ukiraza kama wa Kova hatuutaki humu.
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.
tafadhali, usitufananishe wote na 'wavaa misuli' wa gogo vivu...wengine asili yetu ni ilemela/mwanza lakini tulikuwa mstari wa mbele kuleta mabadiliko jimbo la kawe...!
 
Mikoa yote yenye gahawa, kashata, juice ya tende na wazee wa misuli washindao vibarazani iko nyuma kimabadiliko. Shame on you Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, Dsm and others who are in love with Magamba.
mouddymtoi sio kweli kwamba wote wanamapenzi na magamba ila mfumo tu ndio unatuangusha hivi katika hii kesi mtu amekutwa na masanduku ya kura kwenye gari lake binafsi na bado mtu huyo akashinda utawalaumu wakazi wa hapo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom