Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
 
Makonda bhana! Kwani hizo kura atazitoa yeye? Mbona wanajivunia sana wizi hawa watu!! Au wanafikiri wananchi hatujui kuwa wanabaki madarakani kwa sabbu ya mfumo mbovu wa uchanguzi?

Kama kweli wanajisifu kuwa wanapitq kihalali miswada tu sheria imewashinda, wameona wakichukua maoni ya wananchi kama yalivyo asubuhi na mapema wameondolewa ikulu! Wanajivunia nini hawa?

Wekeni fair kila kitu muone moto wake! Yale sio maandamano ya chadema wala mbowe! Yale ni maandamano ya wazalendo wa nchi hii, wananchi wapenda maendeleo wanaochoshwq na maisha magumu, wanaochoshwa na umeme kukatika, bidhaa kupanda bei, nauli kupanda nk! Umeme haukqtiki kwa mbowe tu wala sukari haijapanda bei kwa mbowe tu!

Mbali ni kwa watanzania wote! Makonda asiwafanye watanzania wa Leo kuwa ni wajinga!
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
Kodi tunazolipa haziwezi kuleta maendeleo mpk akatafute nje?
 
Watu tuna resources kibao afu tunakua na rais ambae sifa yake kubwa ni kwenda kuzurura kuomba omba pesa.....

Yaani Hawa wazungu Kuna muda hua wanakaa wenyewe wanasema haya manyani ni majinga sana

Eti ameenda kutafuta fedha za miradi ya maendeleo

Pathetic
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
Rubbish!!
 
Kama Kuna chama kinamtesa Makonda na ccm basi ni cdm, hakuna popote huyo muhalifu Makonda ametaja vyama vingine bali ni cdm tu. Hata vile vyama 13 vilivyopinga maandamano ya cdm hakuna popote Makonda anavitaja! Ni kama vile umpore mtu mke wake kwakuwa una hela, muda wote unakuwa huna amani na kuweweseka maana unajua sio mkeo. Kweli mtu wenye matunda ndio hupigwa mawe.
 
Hizi ndio kauri tunazosema awe makini huyu jamaa, Hivi mwandishi wa habari akimuuliza Swali "Ndugu Makonda kwa kauli yako uliyosema Je Risasi alizopigwa Akwilina Hadi kufa,mauaji ya Mwangosi, mauaji ya Mawazo,mabomu aliyowahi kupigwa Dr Slaa Arusha kwenye maandamano n.k Je ni nyinyi CCM mliagiza mauaji hayo na maumivu ya raia kutokea? Maana kwa kauli yako inaonesha ninyi ndio Huwa mnatoa tamko kwa polisi."
Sijui jamaa atajibuje? Asije ajidanganye atake mdahalo na wanaojielewa atakuja umbuka
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Wako bararani wanatembea, wanazurura wanaona raha na kwa kuwa wengine ni wagonjwa tumewapelekea magari ya wagonjwa Ambulance ili kutoa msaada itakapotokea dharura." - Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa Makuyuni Monduli Arusha

Ameongeza kuwa "Wakati wao wanaandamana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekea nchini Indonesia kwenye vikao vya Kimataifa kutafuta fedha za miradi ya maendeleo."

Source - CloudsTv
Mpaka KOTAMA ATATUPA?
 
"Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walitegemea tutawaletea Polisi na tutawapiga mabomu, nimwambie kaka yangu Freeman Mbowe awamu hii imebadilika, tutawapa kila kitu lakini kura hamtapata.

Halafu kuna watu wasio na akili watashindwa kuelewa hii kauli, ambapo inaonesha kabisa kwa wazi juu ya tuhuma za wapinzani kwa polisi na CCM...
 
Back
Top Bottom