CHADEMA kuwa chama cha Maandamano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

CHADEMA walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa.

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Mbona kila siku wanakijani wanaandamana maeneo mbalimbali,hata mei mosi na wajuba tumekula jiwe tu🤣
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala
NDIO KAZI YA CHAMA CHA UPINZANI HATA TANU ILIFANYA HIVYO HIVYO NA MWISHO WA SIKU ILIFANIKIWA NA SIKU CCM KIKIWA CHAMA CHA UPINZANI KITAFANYA HIVYO

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Hizo ni jogging wanatakiwa waende cocacola wakaombe udhamini!
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala
Wapumbavu Sana hawa jamaa

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
KAMA CCM KIIVYO CHAMA WA MAFISADI, WAUAJI WAKOLA, WAIBA KURA, WATEKAJI,
 
Kama wananchi wameweza kuunga mkono maandamano ya kudai katiba mpya ipo siku wataitwa waandamane kudai umeme, maji, ubora wa huduma, gharama za maisha na ukosefu wa ajira.

Bila shaka maandamano hayo yajayo yatashangaza wengi sana.
 
Wawe makini. Mambo ya kufanya ni mengi. Muda uliobaki kabla ya uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ni mfupi sana. CCM watawaacha waendelee kuandamana, chaguzi zinafika watajikuta kwamba walichofanikiwa kwa sehemu kubwa ni maadamano. Halafu mengine wanaangukia pua.
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Hao Machadema ni ma looser Bora wameanza mapema Ili jamii iwaone walivyo mbumbumbu.

Just imagine sijui Makala ndio atawapa Katiba Mpya au?

Inaonekana huko mwenye akili ni mmja wengine ni manyumbu fuata upepo 😀😀
 
Kama Chama kinatangaza Shughuli za maandamano katika Mikoa tofauti tofauti kwa jambo lile lile basi Chama hicho kinakuwa ni cha maandamano

Chadema walishaandamana hadi UN na kufikisha Ujumbe wao, ile ilitosha kabisa

Sasa wanaandamana mikoani kwa hoja ile ile kufikisha Ujumbe wao kwa Mkuu wa mkoa

Yaani kutoka UN hadi kwa RC Makala 😂
Kada
Punguza panic. maandamano hayapindui nchi
 
Back
Top Bottom