Putin analia rafu za uchaguzi, Trump analia rafu za uchaguzi na Chadema inalia rafu za uchaguzi, kumbe Dunia inafanana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya.

Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa figisu kila kona Sema tu yeye ana Fedha tofauti na Lisu.

Hapa Nyumbani nako Chadema wanaandamana kulalamikia sheria za uchaguzi kwa mwamvuli wa Hali ngumu ya Maisha.

Hii Dunia ni ile ile popote pale!
 
Demokrasia tunayofundishwa na Ulaya ni ya uongo. Hii mitandao ya kijamii imekuja kuweka mambo wazi kwamba demokrasia ya magharibi ni ya kitapeli.

Trump anachofanyiwa na Democrats ni wazi kwamba wazungu ni wanafiki wakubwa.
 
Nakazia hapo kwenye bold
 
Demokrasia tunayofundishwa na Ulaya ni ya uongo. Hii mitandao ya kijamii imekuja kuweka mambo wazi kwamba demokrasia ya magharibi ni ya kitapeli.

Trump anachofanyiwa na Democrats ni wazi kwamba wazungu ni wanafiki wakubwa.
Nakubaliana na wewe
 
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya

Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa figisu kila kona Sema tu yeye ana Fedha tofauti na Lisu

Hapa Nyumbani nako Chadema wanaandamana kulalamikia sheria za uchaguzi kwa mwamvuli wa Hali ngumu ya Maisha

Hii Dunia ni ile ile popote pale!
Kwamba chadema inaongoza nchi au hujui tofauti kati ya hao uliotaja na chadema kwa taarifa yako pamoja na ujinga wako ni kwamba huko ndio democracy imekita mizizi kama Rais analalamika sio Rais kuunkuund
 
Trump anaongoza Nchi 🐼
 
Demokrasia tunayofundishwa na Ulaya ni ya uongo. Hii mitandao ya kijamii imekuja kuweka mambo wazi kwamba demokrasia ya magharibi ni ya kitapeli.

Trump anachofanyiwa na Democrats ni wazi kwamba wazungu ni wanafiki wakubwa.
Huwezo kulinganisha demokrasia ya huko majuu na ya hapa kwenu kizimkazi
 
Dunia haifanani, ukiona Putin na Trump wanalia ujue huko kwao "usalama wa taifa" wao uko kazini kulinda maslahi ya hayo mataifa.

Hapa kwetu ukiona Chadema wanalia, ujue usalama wa taifa letu upo kazini kulinda maslahi ya CCM.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Mbowe analinda Maslahi ya CCM? 🐼
 
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya

Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa figisu kila kona Sema tu yeye ana Fedha tofauti na Lisu

Hapa Nyumbani nako Chadema wanaandamana kulalamikia sheria za uchaguzi kwa mwamvuli wa Hali ngumu ya Maisha

Hii Dunia ni ile ile popote pale!
Putin na Magufuri akili yao ni moja.
 
Demokrasia tunayofundishwa na Ulaya ni ya uongo. Hii mitandao ya kijamii imekuja kuweka mambo wazi kwamba demokrasia ya magharibi ni ya kitapeli.

Trump anachofanyiwa na Democrats ni wazi kwamba wazungu ni wanafiki wakubwa.
Trump ni Dictator anafaa kuongoza nchi za kuburuzwa kama Tanzania,Uganda,Rwanda na wala si nchi zenye watu wenye akili kama Ufaransa,Marekani,Uingereza,Ujerumani na Italia.
 
Kama ilivyokuwa kwa Tundu Lisu 2020 naye mpinzani mkuu wa Putin huko Russia ameambiwa Fomu yake hajaijaza sawasawa hivyo akajaze Upya

Trump naye japo Wamarekani wengi wanampenda bado anafanyiwa figisu kila kona Sema tu yeye ana Fedha tofauti na Lisu

Hapa Nyumbani nako Chadema wanaandamana kulalamikia sheria za uchaguzi kwa mwamvuli wa Hali ngumu ya Maisha

Hii Dunia ni ile ile popote pale!
Urusi hakunaga uchaguzi bali kiini macho tu !
Stalin alisemaga “ it’s enough people to know there was an election 🗳
People who cast the votes decide nothing but people who count the votes decides everything “ !
 
Back
Top Bottom