Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!
Ungekaa kimya watu wengine nao wangekaa kimya bila kuchangia chochote hivyo kusingekuwa na 'issue' hapa. Naona umekurupuka na mjadala kama vile issue huioni. tulia na utajua kuwa issue ni ipi
Issue ni kwamba Mkapa kasema kuwa anafahamu wanafamilia ya Nyerere na hajui Vicent Nyerere ametokea wapi. Baada ya hapo Mh. Vicent Nyerere kaeleza jinsi asivyoridhishwa na matamshi hayo na kufikia hatua ya kusema kuwa Mkapa asijiingize katika familia ya Nyerere. Mh. Vicent alieleza kuwa ni mwanafamilia hiyo na anamkumbuka hata Mkapa ndiye aliyempa rambi rambi wakati Mwl. Nyerere alipofariki.
Wewe endelea kufuatilia tu utaelewa issue.