CHADEMA: Suluhu ni Mkapa kurudi Arumeru Mashariki kuomba radhi

Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

Ungekaa kimya watu wengine nao wangekaa kimya bila kuchangia chochote hivyo kusingekuwa na 'issue' hapa. Naona umekurupuka na mjadala kama vile issue huioni. tulia na utajua kuwa issue ni ipi

Issue ni kwamba Mkapa kasema kuwa anafahamu wanafamilia ya Nyerere na hajui Vicent Nyerere ametokea wapi. Baada ya hapo Mh. Vicent Nyerere kaeleza jinsi asivyoridhishwa na matamshi hayo na kufikia hatua ya kusema kuwa Mkapa asijiingize katika familia ya Nyerere. Mh. Vicent alieleza kuwa ni mwanafamilia hiyo na anamkumbuka hata Mkapa ndiye aliyempa rambi rambi wakati Mwl. Nyerere alipofariki.

Wewe endelea kufuatilia tu utaelewa issue.
 
i hate hili l*i*pi*pa, jitu tunalilisha linanenepa we zaidi ya mama mjamzito, halafu linatukejeli. P*u*mb*af. Ex-fisadi na si ex-presida
 
Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

Kama huoni issue basi uwe unakaa kimya.
 
ukijiuliza maswali kwenye tasnia ya siasa utajua kwa nini kauli ya mkapa na nyerer vicent inatushughulisha wengi. Ni hivi, mkapa pamoja na kuwa ni Rais msitaafu, lakini hajaacha siasa majitaka-R.A, angetakiwa awe mshauri wa maswala ya siasa.

Mkapa alipima nguvu ya CHADEMA watakayo ipata hasa wananchi wakisikia anayehutubia ni mwana wa Nyerere K.J, itakuwa kubwa na itakuwa hatari kwa CCM. Akaona kudhoofisha kampeni ni kumchafua V.N kuwa si wa familia ya J.K. Nyerere, hivyo kijana huyo wa CHADEMA, analitumia jina hilo kuwahadaa wananchi na kuwanufaisha CHADEMA.

Mkapa akahisi kwa kuwa kakaa na Nyerere mda mrefu, atakachosema kuhusu familia, itachukuliwa kuwa ni kweli na hivyo kumdhoofisha V.N, na ikiwezekana kila aendapo wamzomee kuwa anajiita Nyerere jina la J.K. Nyerere kuwadanganya na kutaka kujinufaisha.

Vicent alipoyasikia maneno ya MKAPA, alishindwa kuvumilia kwani ni uongo ulio dhahiri, ndiyo akaamua kumlipua Mkapa sambamba na kumtaka aoneshe familia yake ni ipi kama siyo ya J.K. NYERERE
 
Issue ni kwamba hatukutegemea hata kidogo kwamba hata baada ya kuamua kuziba domo lake kwa muda mrefu bado hajaacha uongo wa kimbea.

We unaona ni kitu kidogo Rais Mstaafu kusimama mbele ya maelfu ya watu ambao wako kwenye mchakato muhimu sana katika Jamii yao alafu anaanza kuongea mambo ya kike namna ile.

Badala ya kutushangaa sisi nilikutegemea umshangae mkapa, kwamba swala la vicent kuwa mtoto wa nyerere au la!! linauhusiano gani na mchakato wao wa kutafuta kiongozi wao ama lina uhusiano gani na hatima nzima ya Jamii yao katika nyanja za elimu, ardhi, afya, uchumi nk.

Huyu Mjinga alikuwa anajua anachokifanya, alikuwa anafikiri kwamba CHADEMA wamempleka kule Vicent ili kuwarubuni wana Arumeru kwa kupitia Jina la Nyerere akaamua kurusha mavi hewani. Sasa junia la mavi limekataa kupasuka analazimika kuendelea kulibeba na mainzi wamufuate kokote aliko. Muuaji Mkubwa huyu. Kubwa zima hiloooo. Lione kwanza. tumbo kubwaaaaa Likajambe huko
 
AMEMUUA BABA WA TAIFAA! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ametonesha kidonda changu cha 1999. Kama siyo juhudi zako nyerere na uhuru tungepata wapiiiiiiiiiiii.
 
Kajipange upya kupost wehu wako humu, alafu najua unajifunza kutumia macho kusikia badala ya masikio ! Kama hamna cha maana katika post za vcent Nyerere kuwa yy si mwanafamilia ya nyerere, sasa mbona naww umechangia?

Kama unaanza kuwashwa, sema tu!
 
Kwa hali iliyopo mkapa hawezi kuthubutu kurudi arumeru, si kuomba radhi tu bali hata kufunga kampeni za ccm.

Na kuanzia sasa sitegemi kumuona mkapa akijipeleka kwenye kampeni za ccm kwakuwa amefungua milango ya kushambuliwa kwahiyoi kila atakapoonekana kwenye majukwaa ya siasa lazima atakumbana na mashambulizi. Nadhani alikuwa amesahau heka heka alizozipata baada ya kustaafu hadi kufikia hatua ya kuzomewa na wananchi kila anapoonekana hadharani, na huko tunakoelekea sina shaka wananchi wataanza kumzomea kila anapoonekana ili akae atulie aendelee kula pensheni yake.
 
Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

We unaona siyo ishu sababu na wewe ushazoea uongo uongo!
 
Issue ni kwamba hatukutegemea hata kidogo kwamba hata baada ya kuamua kuziba domo lake kwa muda mrefu bado hajaacha uongo wa kimbea.

We unaona ni kitu kidogo Rais Mstaafu kusimama mbele ya maelfu ya watu ambao wako kwenye mchakato muhimu sana katika Jamii yao alafu anaanza kuongea mambo ya kike namna ile.

Badala ya kutushangaa sisi nilikutegemea umshangae mkapa, kwamba swala la vicent kuwa mtoto wa nyerere au la!! linauhusiano gani na mchakato wao wa kutafuta kiongozi wao ama lina uhusiano gani na hatima nzima ya Jamii yao katika nyanja za elimu, ardhi, afya, uchumi nk.

Huyu Mjinga alikuwa anajua anachokifanya, alikuwa anafikiri kwamba CHADEMA wamempleka kule Vicent ili kuwarubuni wana Arumeru kwa kupitia Jina la Nyerere akaamua kurusha mavi hewani. Sasa junia la mavi limekataa kupasuka analazimika kuendelea kulibeba na mainzi wamufuate kokote aliko. Muuaji Mkubwa huyu. Kubwa zima hiloooo. Lione kwanza. tumbo kubwaaaaa Likajambe huko

Sio kwamba sioni tatizo kwa Mkapa kudanganya, ninachosema ni kwamba Mkapa hana usafi huo wa kufikia watu kushangaa na kujadili kisa tu Mkapa kadanganya.....hoja ni kwamba, Mkapa ni mchafu, si tu kwa kauli bali hata kwa vitendo hivyo siwezi kushangaa kumsikia akidanganya na hata akitukana!!! Ningesikia kauli hiyo imetoka kwa mtu kama Askofu Pengo au mtu mmwingie sawa na yeye; ningeshangaa...lakini MKAPA!!!! SIWEZI kushangaa kusikia kuna Changudoa ametoa penzi makaburini, nitashangaa kusikia aliyetoa penzi kwa staili hiyo ni mtu mwenye heshima zake....hapo kweli, panahitaji mjadala na tafakuri ya wapi tunaelekea!!
 
Hivi hizi ni siasa au Mkapa alienda Arumeru akiwa na chuki binafsi na Vicent?.
Lakini kama ni siasa je tuseme ndani ya ccm hakuna tena tone la watu wenye busara kiasi kwamba kiwango cha watu hao ndani ya ccm sasa ni kama Mkapa?.
Inashangaza,na Watanzania tuone jinsi nchi inavyoongozwa kwani kuanzia 1995 -2005 tuliongozwa na Busara hizi za Mkapa na baada ya hapo ndiyo kama mambo yalivyo sasa.Sasa katika mazingira kama haya tutarajie nini kuhusu mstakabali wa nchi yetu ambayo sasa kwa mtazamo wa haraka unaona kabisa inaongozwa kwa jeuri ya ufisadi kama inavodhirika kwa kauli za Mkapa.
 
Sio kwamba sioni tatizo kwa Mkapa kudanganya, ninachosema ni kwamba Mkapa hana usafi huo wa kufikia watu kushangaa na kujadili kisa tu Mkapa kadanganya.....hoja ni kwamba, Mkapa ni mchafu, si tu kwa kauli bali hata kwa vitendo hivyo siwezi kushangaa kumsikia akidanganya na hata akitukana!!! Ningesikia kauli hiyo imetoka kwa mtu kama Askofu Pengo au mtu mmwingie sawa na yeye; ningeshangaa...lakini MKAPA!!!! SIWEZI kushangaa kusikia kuna Changudoa ametoa penzi makaburini, nitashangaa kusikia aliyetoa penzi kwa staili hiyo ni mtu mwenye heshima zake....hapo kweli, panahitaji mjadala na tafakuri ya wapi tunaelekea!!

Umeeleweka mkuu !
 
ukijiuliza maswali kwenye tasnia ya siasa utajua kwa nini kauli ya mkapa na nyerer vicent inatushughulisha wengi. Ni hivi, mkapa pamoja na kuwa ni Rais msitaafu, lakini hajaacha siasa majitaka-R.A, angetakiwa awe mshauri wa maswala ya siasa.

Mkapa alipima nguvu ya CHADEMA watakayo ipata hasa wananchi wakisikia anayehutubia ni mwana wa Nyerere K.J, itakuwa kubwa na itakuwa hatari kwa CCM. Akaona kudhoofisha kampeni ni kumchafua V.N kuwa si wa familia ya J.K. Nyerere, hivyo kijana huyo wa CHADEMA, analitumia jina hilo kuwahadaa wananchi na kuwanufaisha CHADEMA.

Mkapa akahisi kwa kuwa kakaa na Nyerere mda mrefu, atakachosema kuhusu familia, itachukuliwa kuwa ni kweli na hivyo kumdhoofisha V.N, na ikiwezekana kila aendapo wamzomee kuwa anajiita Nyerere jina la J.K. Nyerere kuwadanganya na kutaka kujinufaisha.

Vicent alipoyasikia maneno ya MKAPA, alishindwa kuvumilia kwani ni uongo ulio dhahiri, ndiyo akaamua kumlipua Mkapa sambamba na kumtaka aoneshe familia yake ni ipi kama siyo ya J.K. NYERERE

Swadaktaaa.....wewe umemuelewa Mkapa na unaielewa siasa!!! Kuna mtu alikuwa anashangaa kauli ya Mkapa kwa Vicent kwavile wengi wanafahamu kwamba Vicent ni from ukoo wa Nyerere!!! Nilichomwambia ni kwamba, hafahamu siasa...na hivi ndivyo siasa zilivyo!!! Si kwamba Mkapa hafahamu ukweli kuhusu Vicent......na hata Vicent mwenyewe anafahamu fika kwamba alichofanya Mkapa ni siasa tu...hata hivyo, na yeye (Vicent) katika hali ile ile ya siasa siasa, ndo maana nae anajifanya kumkomalia Mkapa!! Nakumbuka, kuna siku tulikuwa kwenye training ambayo Trainer alikuwa Mbunge mmoja wa CHADEMA hivi sasa (special seats)!! Nakumbuka ile siku alisema hivi: "unajua sisi wanasiasa, msivyotuelewa, mtasumbuka sana. Unakuta mtu kwa makusudi unampiga mwenzako madongo hadharani lakini baadae unampigia simu unamwambia, bwana, si unajua tena mambo ya siasa!" Na ndio maana, ni wanasiasa wachache sana huwa wanapelekana mahakamani au kwenye vyombo vya sheria kwa kosa la kuchafuana...kwa bahati mbaya, wengi wetu hatufahamu tabia hiiya wanasiasa!!! Mwanasiasa always, ni MWONGO, MZUSHI, MZANDIKI na katu hasimamii kauli zake!! Si Mkapa tu, hata huyo Dr. Slaa, JK na wengine wote ni waongo na wazushi wakubwa.....mbaya zaidi, ni very manipulative!
 
Kwa hali iliyopo mkapa hawezi kuthubutu kurudi arumeru, si kuomba radhi tu bali hata kufunga kampeni za ccm.

Na kuanzia sasa sitegemi kumuona mkapa akijipeleka kwenye kampeni za ccm kwakuwa amefungua milango ya kushambuliwa kwahiyoi kila atakapoonekana kwenye majukwaa ya siasa lazima atakumbana na mashambulizi. Nadhani alikuwa amesahau heka heka alizozipata baada ya kustaafu hadi kufikia hatua ya kuzomewa na wananchi kila anapoonekana hadharani, na huko tunakoelekea sina shaka wananchi wataanza kumzomea kila anapoonekana ili akae atulie aendelee kula pensheni yake.
Unajua mtawala huwa hajui machungu ya mtawaliwa alidhani watu wameshaanza kusahau, test yake ya kwanza ilikuwa Igunga alipoona hawamshambulii akaamua kuchonga mzinga sidhani kama atarudi kwenye siasa tena, lakini you never know kwenye siasa anything is possible.
 
Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

Ni kweli NasDaz kwa uchambuzi wako. LAkini hebu pima, wakati alipoyazungumza kweli halikuwa issue hata kidogo. Watu walichukia na kusema kuhusu yale matusi ya Mh. Mkapa kuwatukana wapinzani. Lakini baada ya jibu kutoka kwa Mh. Vicent, hii issue imekuwa kubwa sana na sasa ndiyo watu wanakubaliana kuwa Mh. Mkapa si mtu mzuri. Na hili pia litaweza kuyapa nguvu maovu mengi ya Mh. Mkapa ambayo watu wengine walikuwa bado wakimwamini. Leo ni nani atamwamini tena huyu mkuu mstaafu atakapozungumza kitu ama kujitetea kwa chochote?
 
Back
Top Bottom