CHADEMA: Suluhu ni Mkapa kurudi Arumeru Mashariki kuomba radhi

Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

Vipi ulipata chochote from WAZZUB? au bado unasubiri?
 
Swadaktaaa.....wewe umemuelewa Mkapa na unaielewa siasa!!! Kuna mtu alikuwa anashangaa kauli ya Mkapa kwa Vicent kwavile wengi wanafahamu kwamba Vicent ni from ukoo wa Nyerere!!! Nilichomwambia ni kwamba, hafahamu siasa...na hivi ndivyo siasa zilivyo!!! Si kwamba Mkapa hafahamu ukweli kuhusu Vicent......na hata Vicent mwenyewe anafahamu fika kwamba alichofanya Mkapa ni siasa tu...hata hivyo, na yeye (Vicent) katika hali ile ile ya siasa siasa, ndo maana nae anajifanya kumkomalia Mkapa!! Nakumbuka, kuna siku tulikuwa kwenye training ambayo Trainer alikuwa Mbunge mmoja wa CHADEMA hivi sasa (special seats)!! Nakumbuka ile siku alisema hivi: "unajua sisi wanasiasa, msivyotuelewa, mtasumbuka sana. Unakuta mtu kwa makusudi unampiga mwenzako madongo hadharani lakini baadae unampigia simu unamwambia, bwana, si unajua tena mambo ya siasa!" Na ndio maana, ni wanasiasa wachache sana huwa wanapelekana mahakamani au kwenye vyombo vya sheria kwa kosa la kuchafuana...kwa bahati mbaya, wengi wetu hatufahamu tabia hiiya wanasiasa!!! Mwanasiasa always, ni MWONGO, MZUSHI, MZANDIKI na katu hasimamii kauli zake!! Si Mkapa tu, hata huyo Dr. Slaa, JK na wengine wote ni waongo na wazushi wakubwa.....mbaya zaidi, ni very manipulative!

Yaani kote huko ulikuwa unazunguka tuuuu lakini lengo lako uhakikishe umemtaja Dr. Slaa ili moyo wako usuuzike.

Hapa tunawazungumzia mkapa na vincent Nyerere, sasa wewee huyoooo kiguu na njia hadi kwa Dr. Slaa ili iweje? najua wanasiasa wa ccm ndio waongo na wazushi wakubwa kama anavyofanya mkapa, mwigulu, wassira, olesendeka na kibajaji ambao kila uchao tunawasikia na kuwasoma jinsi wanavyoeneza uzushi, uongo na matusi huko arumeru, sasa unashindwa kuwaona na kuwaonya ma ccm wenzako, unataka kuwapaka matope watu wengine wasiohusika.
 
Ni kweli NasDaz kwa uchambuzi wako. LAkini hebu pima, wakati alipoyazungumza kweli halikuwa issue hata kidogo. Watu walichukia na kusema kuhusu yale matusi ya Mh. Mkapa kuwatukana wapinzani. Lakini baada ya jibu kutoka kwa Mh. Vicent, hii issue imekuwa kubwa sana na sasa ndiyo watu wanakubaliana kuwa Mh. Mkapa si mtu mzuri. Na hili pia litaweza kuyapa nguvu maovu mengi ya Mh. Mkapa ambayo watu wengine walikuwa bado wakimwamini. Leo ni nani atamwamini tena huyu mkuu mstaafu atakapozungumza kitu ama kujitetea kwa chochote?

Mkapa kama Mkapa, ana kofia mbili....mosi, ujeuri wa asili na pili ni mwanasiasa!! Kutokana na jeuri ya asili, hii si mara ya kwanza kwa Mkapa kutoa kauli za ajabu na wala haitakuwa mara ya mwisho.....!! Na ukichukua kofia ya siasa, hususani siasa ze2 za majitaka, bado siwezi kushangazwa hata kidogo....na katu haitakuwa kauli yake ya mwisho as longer as bado anaendelea na siasa za majukwaani! Kwani mmesahau pale Yusuf Makamba aliposema wazi kwamba Nape Mnauye si mtoto halali wa Mzee Mnauye wakati Nape huyo huyo akiwa ameshawahi kuishi kwa Mzee Makamba kwa kofia ya urafiki ndugu wa Mzee wa Mnauye na Makamba!? Na wala tusizani kwamba eti kwa kauli ile kuanzia sasa Vicent atakuwa na chuki na Mkapa....hawa wote wana-share kofia moja; siasa!!!
 
Ni kweli. lakini na wewe kama una tabia kama avatar yako inavyoonesha ni vizuri ukashika ushauri uliompa Mr Clean, Mkapa.
avatar50584_7.gif

una tatizo linakunyemelea wewe sio bure
 
Yaani kote huko ulikuwa unazunguka tuuuu lakini lengo lako uhakikishe umemtaja Dr. Slaa ili moyo wako usuuzike.

Hapa tunawazungumzia mkapa na vincent Nyerere, sasa wewee huyoooo kiguu na njia hadi kwa Dr. Slaa ili iweje? najua wanasiasa wa ccm ndio waongo na wazushi wakubwa kama anavyofanya mkapa, mwigulu, wassira, olesendeka na kibajaji ambao kila uchao tunawasikia na kuwasoma jinsi wanavyoeneza uzushi, uongo na matusi huko arumeru, sasa unashindwa kuwaona na kuwaonya ma ccm wenzako, unataka kuwapaka matope watu wengine wasiohusika.

Pole sana....kama una mahaba makubwa kiasi hicho na wanasiasa, mie sinayo!!! Myself, i don' trust any politician kwahiyo kama unaona eti nilikuwa nazunguka zunguka ili nimtaje Dr. Slaa basi pole sana!! Hata huo usanii wa JK nimeshawahi kuuzungumzia!! Mie sio nyie ambao Dr. Slaa kwenu ni kama Malaika asiyetenda kosa.
 
Kumbe Mkapa siku hizi anaweza kuwatafutia watu baba zao? Hii kali aende sasa awambie hao wananchi wa Arumeru baba wa Vincent ni nani?
 
Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!
Kwa mtu kama wewe Nazi dazani ni vigumu sana kuelewa...
 
Wewe sikiliza kila mtu ana haki ya kujiunga na kushabikia chama cha siasa achokipenda,Sasa unachekesha unavyosema huwapende watu wa ccm, Jenga hoja ili kuwashawishi waweze kuhamia chama unachofikiri kina dira sahihi ya kumkomboa mtanzania wa kawaida
 
Haki ya mungu nazani mi nina matatizo!!! Ni hili la Vicent kuwa c mwanafamilia ya Nyerere....!! What's so special hapa hata humu JF kuwe na threads na posts nyiiiiiiiingi kuhusu issue kama hii?! Hivi ya issue ya msinbgi hapa ni kwanini Mkapa kasema Vicent si MWANAFAMILIA ya Nyerere au Mkapa amedanganya?! Kama issue ni kv amesema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere; so what's so special hapo?! Awe mwanafamilia au siwe mwanafamilia, ni nini hapo cha kufanya media zote zione ndo jambo la kujadili kwa mapana na marefu?! Kama issue ni uongo wa Mkapa, hivi ni tangu lini Mkapa amepata kuwa mtu decent kiasi hicho hata ionekane ni big issue kwa yeye kudanganya? Kama leo hii mtu ataamua kuorodhesha mabovu ya Mkapa, hili la kusema Vicent si mwanafamilia ya Nyerere haliwezi kuwa hata katika kumi bora!

Mkuu tatizo ni mahali alipolisemea. Mkapa amelitumia hilo kama rungu la kuimaliza CDM kwenye kampeni za Arumeru kwa kuwa Vicent Nyerere amechakuliwa kuwa mmoja wa mameneja wa kampeni. Kama angelisema wakati mwingine wowote isingekuwa issue kubwa. HII NDIYO SIASA BANA. CDM nao wametumia makosa ya Mkapa kwenye hizo kampeni kudhhfisha yote aliyoyasema ambayo labda yangewasaidia ccm kushinda. HII NDIYO SIASA BANA. Sasa mzee mzima anatakiwa kujisafisha kwa kashfa ya kuhusika na kifo cha Baba wa Taifa. Hana namna vinginevyo chuki dhidi yake itazidi kuwa kubwa.
 
Nimemuona jana kupitia TBC. Nimefurahi sana. Lowassa ni taa ya kijani iwamulikayo watanzania.

Mkuu, mkono wako wa kulia umebeba bango linalomsifu Julius K. Nyerere RIP. kiasi cha kumshambulia Tendwa kwa maneno makali, Nyerere wakati fulani enzi za uhai wake alimwambia edward ngoyai lowasa kuwa hafai kuwania nafasi ya kupanga magogoni kwa sababu si msafi (Ametajirika sana kwa kazi ipi wakati amekuwa mtumishi wa umma umri wake wote wa maisha ya kikazi) lakini kwenye mfuko wako wa shati una kakaratasi umekaandika eti lowasa ndiyo tegemeo la kuziba nafasi jk akitoka magogoni. Mkuu jitambue!!!!!!
 
Ni kweli. lakini na wewe kama una tabia kama avatar yako inavyoonesha ni vizuri ukashika ushauri uliompa Mr Clean, Mkapa.
avatar50584_7.gif

eti naye anahimiza usafi wakati mapenzi na moyo wake vimetawaliwa na hayo na anajivunia.
 
“Unajua mimi nashangaa kwa mtu mzima kusema uongo mbele ya wananchi, tena kiongozi anayepaswa kuaminiwa na watu anaowaongoza. Alipofariki baba yangu ambaye alikuwa rafiki yake na Mkapa pia, alikuja nyumbani kwetu kwenye msiba…hata rambirambi alinikabidhi mimi.

“Sasa kwa kuwa kasema mimi si familia ya Nyerere, anipeleke huko kwenye hiyo familia nyingine,” alisema Nyerere.

Hii ndio statement ya msingi.
 
eti naye anahimiza usafi wakati mapenzi na moyo wake vimetawaliwa na hayo na anajivunia.

Simshangai Mkapa. Hili siyo kosa lake la kwanza, wala siyo la mwisho. Kama hana mwongozo, yaani makaratasi ya hotuba, hata matusi yanaweza kumtoka. Kwa hiyo sitashangaa nitakaposikia ameropoka tena. Kosa la CCM ni kutojua aina ya mtu wa kumtuma Arumeru. Alipaswa kuwasiliana kwanza na Walter Bugoye amwandalie makaratasi ya kusoma.
 
Back
Top Bottom